Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

We boya hujui kitu na huelewi.. yani upo upo tu, ni kuzurura huku na huko ukimwaga pumba!

Pumba* kabisa!

Acheni dharau Kima nyie, mnasababisha mpaka timu zinaamua kuvunja mahusiano ya kidiplomasia kutokana na dharau zenu.
tapatalk_-1384455491_259x512.jpg
 
Tatizo lenu nyinyi hua mnadharau na kupenda kulianyau sana.
Mwanzo kabisa mnapeleka offer yenu ya eftatu, Brighton waliwakatalia na kuwaambia kua hawana mpango wa kumuuza, na endapo wakiamua kumuuza haitakua chini ya £80m.
Hamjakaa sawa eti mnapeleka offer nyingine ya eftatu mia tano kama sio dharau ni nini?
Trossard mmepewa kwa bei ya hisani baada ya kutofautiana na kocha wake, laiti mngekua wastaarabu mngewapa tu hio £80m mkamaliza biashara.
Ule ujinga uliofanyika kwenye offer Mudryck ndio ujinga huohuo mmeurudia tena kwenye offer ya Caicedo.
Mkuu,
Hivi ulisoma kwamba Brighton waliweka wazi kuwa dogo hauzwi? Mtu akishasema hatuuzi hata uje na 100m atakuuzia?

Sema nyie mpo hapa kubishana na kuonyeshana nani zaidi kati ya Manure na Arsenal.
 
Tatizo lenu nyinyi hua mnadharau na kupenda kulianyau sana.
Mwanzo kabisa mnapeleka offer yenu ya eftatu, Brighton waliwakatalia na kuwaambia kua hawana mpango wa kumuuza, na endapo wakiamua kumuuza haitakua chini ya £80m.
Hamjakaa sawa eti mnapeleka offer nyingine ya eftatu mia tano kama sio dharau ni nini?
Trossard mmepewa kwa bei ya hisani baada ya kutofautiana na kocha wake, laiti mngekua wastaarabu mngewapa tu hio £80m mkamaliza biashara.
Ule ujinga uliofanyika kwenye offer Mudryck ndio ujinga huohuo mmeurudia tena kwenye offer ya Caicedo.
Hata 80 au 100 walishasema hauzwi ELEWA Hilo

Wanasema wanataka kucheza michuano ya ulaya

Issue ya Mudrky tuliweka pesa sawa na waliyoweka Chelsea

Shakhtar wanasema Tulianza KUONGEA na mchezaji kabla yao

Pia Kuna siasa humo , Chelsea ataenda kucheza nao mechi ya hisani

Hata salary aliyoweka Chelsea inatofautiana na ya Arsenal £10k TU
 
nasubiri nione arteta atamtumia vipi jorginho..
je atacheza kama mbadala wa partey kwa
system ile ile au itakuwa tofauti akiwepo yye.

kwa namna arsenal inavocheza.. kupata replacement ya partey itakuwa ni uongo tu
ama ni kazi kubwa ifanyike ya kumbadlisha mchezaji awe kama partey.. jmaa ni regista
kamili..

jorginho ni mchezaji mzuri sna.. ngja tuone
namna arteta atamtumia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
| @FabrizioRomano:

“There were no further talks over signing Caicedo on Deadline Day. Brighton never changed their stance. I think Arsenal will be back on the market for midfielders in the summer. It’s too early to say who they’re going to try to sign. It won’t be decided now.”
 
Sean Dyche

Anapenda kutumia 4-4-2 low block toka yupo Burney

Tupo nae Jumamos Vs Everton
 
Mlikwama wapi kwenye dirisha la january

Moises Caicedo
Bei kubwa
Ivan Fresneda
Loan back hadi kiangazi kama sisi na Malo Gusto - Arsenal wakakataa
Mykhailo Mudryk
Bei kubwa
Martin Zubimendi
mchezaji aliamua kubaki Real Sociedad kumalizia msimu
Eduardo Camavinga
Real Madrid na mchezaji waligoma
 
Caicedo sio Bei kubwa Labda Kama umeamua kutofatilia

Soma hapa

Relationship between Brighton & Arsenal,has been damaged. Brighton were left irritated and perplexed after the 2nd bid as they felt Arsenal did not get the message that the player is not for sale.

The Athletic

Mudrky pia sio Bei kubwa Labda umeamua kudanganya au kufurahisha

Ofa aliyotoa Chelsea €100m ndio hiyo hiyo alitoa Arsenal €95-100m

Salary tofauti ilikuwa 10k

Soma hapa

Shakhtar Director

He claims Arsenal contacted Mudryk in "October or November" before formally contacting Shakthar. He has also revealed the Gunners offered the same amount as Chelsea, but the latter's proposal contained more "achievable and realistic" add-ons.

Kwa Fresneda na Zubimend na Camavinga upo sahihi
 
Hata 80 au 100 walishasema hauzwi ELEWA Hilo

Wanasema wanataka kucheza michuano ya ulaya

Issue ya Mudrky tuliweka pesa sawa na waliyoweka Chelsea

Shakhtar wanasema Tulianza KUONGEA na mchezaji kabla yao

Pia Kuna siasa humo , Chelsea ataenda kucheza nao mechi ya hisani

Hata salary aliyoweka Chelsea inatofautiana na ya Arsenal £10k TU
Si wewe mwenyewe ndie ulietuaminisha hizi habari?
Screenshot_20230201_181751.jpg
Screenshot_20230201_181701.jpg
Screenshot_20230201_181634.jpg
Screenshot_20230201_181600.jpg
 
Caicedo sio Bei kubwa Labda Kama umeamua kutofatilia

Soma hapa

Relationship between Brighton & Arsenal,has been damaged. Brighton were left irritated and perplexed after the 2nd bid as they felt Arsenal did not get the message that the player is not for sale.

The Athletic

Mudrky pia sio Bei kubwa Labda umeamua kudanganya au kufurahisha

Ofa aliyotoa Chelsea €100m ndio hiyo hiyo alitoa Arsenal €95-100m

Salary tofauti ilikuwa 10k

Soma hapa

Shakhtar Director

He claims Arsenal contacted Mudryk in "October or November" before formally contacting Shakthar. He has also revealed the Gunners offered the same amount as Chelsea, but the latter's proposal contained more "achievable and realistic" add-ons.

Kwa Fresneda na Zubimend na Camavinga upo sahihi
Hii issue ya Caiced naona tangu tulituma offer ya kwanza na kuwa rejected nikahis tutarejea mwishon ila hali ikawa tofauti.

Jinsi Rui Costa alivyokuwa anatufanyia nikahisi hapa tutarudi kwa caicedo ila wapi nikaona kabisa kwa mara ya 1 viongozi wetu bado wamekomaa nae mda ulivyokuwa unaenda halaf Jorginho ashaondoka nikasema basi tumeisha.

Summer huenda tukarudi kwenye kutafuta kiungo 1 katika mchakato wa kuimprove kiungo chetu
 
Huoni vyanzo hivo ? Sio Maneno yangu ,

Hata Arsenal kupeleka Dau la 2 Ni Baada ya kauli ya Di Zerbi ,Lakini uongozi wa Brighton ndio ulioweka ngumu kuwa HAUZWI kwa Bei yoyote .

Mwisho wa siku Ukweli umebainika alikuwa HAUZWI

Dirisha la usajili linabadilika muda wowote

Drama za Usajili huwa sio Constant ,

Kina Fabrizio, n.k walikuwa wanasema huenda Labda £80m ndio dau litakubaliwa

Hao hao mwisho wanasema Brighton alisimamia msimamo wake HAUZWI
 
Hii issue ya Caiced naona tangu tulituma offer ya kwanza na kuwa rejected nikahis tutarejea mwishon ila hali ikawa tofauti.

Jinsi Rui Costa alivyokuwa anatufanyia nikahisi hapa tutarudi kwa caicedo ila wapi nikaona kabisa kwa mara ya 1 viongozi wetu bado wamekomaa nae mda ulivyokuwa unaenda halaf Jorginho ashaondoka nikasema basi tumeisha.

Summer huenda tukarudi kwenye kutafuta kiungo 1 katika mchakato wa kuimprove kiungo chetu
Baada ya Chelsea kukataliwa £55m na hawakurudi Tena Ni dhahiri huyu mchezaji alikuwa HAUZWI Tena

Wakala wake Ndiye aliwajulisha Arsenal kuwa Caicedo anapatikana wakaze uzi, Di Zerbi akasema Yeye yupo fresh tu Caicedo akiuzwa

Uongoz wa Brighton ndio umemuwekea Ngumu kumuuza, nadhani Ni Jeuri tu kuonesha hawana shida na Pesa .
 
Kila mchezaji amewakataa nyie wajalaana, mudryk, Felix, Enzo, caicedo, kamavinga nk. Mmeishia kununua konokono jorginho.
Mkishika hat nafas ya pili.niitwe mbwa
 
THE ATHLETIC WANASEMA KUNA KILA DALILI MAHUSIHANO YA ARSENAL NA BRIGHTON YAMEVUNJIKA

Waliposema HAUZWI ,Arsenal wakafanya Dharau wakatuma ofa ya 2

Relationship between Brighton & Arsenal,has been damaged. Brighton were left irritated and perplexed after the 2nd bid as they felt Arsenal did not get the message that the player is not for sale.

View attachment 2502518
Sioni shida hapa. Mahusiano yepi hayo na yakiharibika yatatudhuru vipi sisi? Hawa bado wadogo sana EPL na inaelekea Bado hawaelewi biashara inafanyikaje katika level hizi. Sisi wazoefu tunaelewa kuwa 'not for sale' means 'we want more money' so sisi tukaongeza pesa mezani. Huenda Kuna namna walitufanya tuamini kama wanatujaribu tu na watauza tukifika bei nzuri. Hii imetutokea hata sisi mara kibao tu. Sasa wamekataa tukakubali matokeo, maisha yakaendelea. Haya mambo ya mahusiano kuharibika ni kuwa wanaona tunawahitaji sana au? Waache Dua zao za kuku kwetu sisi mwewe
 
Somfeioni shida hapa. Mahusiano yepi hayo na yakiharibika yatatudhuru vipi sisi? Hawa bado wadogo sana EPL na inaelekea Bado hawaelewi biashara inafanyikaje katika level hizi. Sisi wazoefu tunaelekea kuwa 'not for sale' means 'we want more money' so sisi tukaongeza pesa mezani. Huenda Kuna namna walitufanya tuamini kama wanatujaribu tu na watauza tukifika bei nzuri. Hii imetutokea hata sisi mara kibao tu. Sasa wamekataa tutakubali matokeo, maisha yakaendelea. Haya mambo ya mahusiano kuharibika ni kuwa wanaona tunawahitaji sana au? Waache Dua zao za kuku kwetu sisi mwewe
Wanatakiwa waelewe hiyo ni biashara kama biashara zingine tulienda kwao tukalipa pesa tukamchukua White nao Chelsea wakaja wakalipa wakamchukua Cucu na hivo hivo kwa caicedo watu watakuja watalipa wataondoka hiyo target yao ya kucheza michuano ya ulaya msimu ujao haituhusu tunatumia hela na wajue kwenye vilabu vidogo wachezaji wanapita tuu ndo maana dogo aliandika mitandaoni hadi mambo ya familia yake.

Dhahabu ikitokea watu wanaitolea macho Caicedo summer hii watu watagonga mlango sio tuu Arsenal hata Liverpool wanaotaka kurudi kwenye ushindani maana midfield yao imechoka haswa.
 
Back
Top Bottom