Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
OFFICIAL| Cedric Soares joins Fulham on loan till the end of the season
OFFICIAL| Cedric Soares joins Fulham on loan till the end of the season
Kwakua hiyo ni comment ya kwanza am sure utakuta mbele nilichoandika kingineWewe unamuona Jorginho ni mchezaji wa project? huwa naelewa sn mchango wako humu but If you don't know what to say please keep quite brother.
Ni ngumu Elneny au Lokonga kua cover ya Partey kwakua Partey ana traits zote za hawa wawili huku zikiwa better zaidi.Hapana bhana ,Arteta amekuwa akimtumia Lokonga Kama cover ya Partey iwapo Elneny anakosekana
Ila Arteta na benchi la ufundi walisema hawamuoni Kama no.6
Hata Sambi mwenyewe no.6 alisema haiwezi ,Ni vile unakuta Partey na Elneny hawapo ,
Albert Sambi Lokonga says he prefers to play as a No.8 with ‘more freedom’ to get forward, while he has also revealed the advice he received from Thierry Henry.
| Bukayo Saka and Jorginho #afcIla kweli kabisa unaamini mimi namuangalia mchezaji wa 31 years na ninaona ni mchezaji wa project?Wewe unamuona Jorginho ni mchezaji wa project? huwa naelewa sn mchango wako humu but If you don't know what to say please keep quite brother.
| Mikel Arteta: Unataka DMs watatu, dakika utawapa wewe brother? hapo lokonga na Jorginho hawana record mbaya za majeruhi.Kuna swali najiuliza,Arsenal tulikuwa na partey,lokonga na elneny na bado tulikuwa tunazungumzia kusajili DM.sasa kaumia elneny na bado sambi anatolewa kwa mkopo.mmh hivi kuna anayefikiria nachokifikiria?hii vita inataka akili saana
Kwa manufaa ya members jaribu kufafanua mkuu ili watu waelewe na kama yupo wa kupinga na yeye aseme anachokijua. Mfn ukisema yupo slow ni yupo slow kwenye nini na vile vile unaposema ni mzito kwenye kufanya maamuzi una maanisha nini. Nadhani kwa kufanya hivyo utakuwa umetengeneza argument yenye factNimesema jamaa yuko slow, hana pace, mzito kwenye decision making.
Wewe sasa usikomae na benchi limesema. Nijibu wewe kwa kutumia akili zako kwamba nimekosea kwa sababu hizi hapa.
Hoja ya benchi limesema ni hoja ya wafuatilia mpira livescore
EduYakutunza hii ni ushahidi hata kama huna shideoKuna video nashindwa ku upload Jorginho alizidiwa mbio na refa wakati anarudi kufanya recovery.
Labda aamue mwenyewe kubadilika. Ila jamaa ni mvivu sana.
️
#AFCSerious kuliko unavyodhaniKwahiyo umeingilia kitu hujui kilipoanzia kwakua umeona neno 'usitudanganye'?
Hivi upo serious?
Anavyofikiri kocha sio kama wanavyofikiri mashabiki, anaishi na wachezaji kila siku, sisi tunawaangalia tu kwenye screen, kuna mambo mengi yanaangaliwa kwa mchezaji, ndio maana kuna wachezaji walipigiwa kelele na mashabiki lakini kocha anaamua kubaki nao na wanafanya vizuri. Kwahiyo sio kubwatuka bwatuka tu kama wewe ndio kochaCoach also thought Lokonga was a cover for Partey
Hii picha ni kama Mc Mboneke na Steve Nyerere na hilo koti la JorginhoJorginho:
“All I can promise is that I’m going to give my all to represent this club”.
️
#AFCView attachment 2501959


