zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,181
- 39,642
He's approaching 24 kijana mdogo? analingana age na Rice!! Vipi Gavi, pedri, Bellingham Wana umri Gani? mbona wako vizuri ingawa wachanga na hawana uzoefu mkubwa sana.Kwamba Lokonga sio mchezaji? Guys labda mimi sijawahi kuujua mpira, hata Xhaka kuna kipindi tulisema ni shyte tu, leo hii kila mtu kimya. My opinion is, Lokonga ji bonge la mchezaji, bado kijana ndogo na anajifunza, huenda akibadilishwa namna ya uchezaji akawa vizuri zaidi.
Labda utoe aspects za kimpira kunijibu, otherwise naona hate tu kwa dogo.
Tatizo la Lokonga Hana defensive awareness hajui muda Gani akabe nafasi. Hana spidi ya kukaba mapema, Hana physicality ya kudominate Midfield, Bado Hana aggressiveness inayohitajika..... Passing ndio kabisa mbovu!! Odegaard alimfokea sana mechi iliyopita mpaka jamaa akasusa.
Kiufupi hayupo tayari kwa timu kama Arsenal labda acheze ligue 1 kidogo hakuna agressiveness kubwa.