Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Naisubiri combination ya Partey Jorginho halafu na Zinchenko wote watatu Ni Press Resistant
Tutapiga pass 700+, Kuna mtu atakula wiki hi Round ya 2
Mark my words
Hapo mpinzani mpira unausaka kwa tochi maana Øde , saka , Trossard wanaletewa Mali kila sekunde