Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,232
- 76,754
Yupo slow hawezi kutrack back hii inasababisha timu iwe vulnerable kwenye counter.Kwa manufaa ya members jaribu kufafanua mkuu ili watu waelewe na kama yupo wa kupinga na yeye aseme anachokijua. Mfn ukisema yupo slow ni yupo slow kwenye nini na vile vile unaposema ni mzito kwenye kufanya maamuzi una maanisha nini. Nadhani kwa kufanya hivyo utakuwa umetengeneza argument yenye fact
Akiwa na mpira anatumia muda mkubwa kuangalia team mates positioning hii husababisha anyang'anywe mipira mara nyingi ili kuepuka hili amekua aki-back pass.