Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,243
- 76,793
Hizi stats ambazo zinaonekana ni nzuri hazijasaidia asikae benchi Chelsea.Distance covered ni umekimbia umbali gani pale dimbani hivyo yageuzwa kuwa Kms.
Hata kwenye tennis ni hivyohivyo si wapima kitenesi kimeruka umbali gani kwa kms?
Hivi ni vipimo vitumikavyo.
Pili, hizo stats zimetumika za 21/22 kwasababu wanaangalia mechi ambazo wachezaji hao wamecheza kwa msimu mzima wa 21/22
Pia ni kwa kuzingatia kuwa kabla Jorginho hajaanza kusugua bench.
Kumbuka tunaangalia kwanini ni Jorginho ndilo suali lako la msingi.
Kwanini?