verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,150
- 6,256
Lokonga hamna mtu mule, anaenda Palace kwa mkopo probably next season pia ataenda loan au kuuzwa kabisa maana ameshindwa kudeliver kilichohitajikaKwamba Lokonga sio mchezaji? Guys labda mimi sijawahi kuujua mpira, hata Xhaka kuna kipindi tulisema ni shyte tu, leo hii kila mtu kimya. My opinion is, Lokonga ji bonge la mchezaji, bado kijana ndogo na anajifunza, huenda akibadilishwa namna ya uchezaji akawa vizuri zaidi.
Labda utoe aspects za kimpira kunijibu, otherwise naona hate tu kwa dogo.