Peasant
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 3,949
- 699
Umezoea kuongea upupu aliyeuliza swali anafahamu maana yake, Wacha kuruka ruka kama kunguru. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wengine chijui walikimbia umande? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hawawezi hata kusoma data!
Utakuwa mmoja wao kati ya waliokimbia umande. You're absolutely poor at data interpretation. Mwanzo kabisa ulikuja na conclusion kwamba Arsenal defence ni better kuliko ManUnited. The obvious indicators for the best defence ni total number of the goals conceded, ambapo ManU wana 32 na Arsenal 36. Baada ya kuona umechemka umejaribu kupick only the away stats ili kutudanganya, lakini hauko smart kama unavyofikiri, stats ulizoweka ni kabla ya mechi ya leo, lakini baada ya mechi ya leo Arsenal na ManU wote wamefungwa magoli 23 away, lakini ManU ana rekodi nzuri nyumbani hivyo overall wana defence nzuri kuliko Arsenal....FACT....Unless kama unaweza kuchakachua FACTS kama ndugu zako wa ccm.