Timu ilihitaaji wachezaji wachache tu kuongezea Wenger kakataa kununua, matokeo yake ndio. Mumivu tu hata kama wao hawajali lakini lazima wakumbuke mapato yanatoka kwa fans pia.
Lmao....
Ngoja nfike hm niwape vidonge vyenu.
beki yetu mbovu sana, wenger anasema anawakuza .
bado iko... can win remaining games
Mnamuonea tu kocha
Tatizo lenu jingine nyie ("Mtibwa Sugar") washika bunduki ni kwamba mnaridhika sana na samba style....mkishaona mnamiliki mpira over 60% kwenye mechi zenu halafu mkashinda shinda kwa bahati....mnasahau UDHAIFU wa Babu yenu Wenger........mkifungwa ndio mnaanza kulia lia eti Wenger hafai.........trust me Harry Redknap can make a very good Manager for Arsenal 10 times than Wenger.....
duu sasa refa kaharibu wapi?au lile goli ni offside??? kweli una mahaba makali sana na arsenal
AW kuna kila dalili ukabadili ID name yako Jf the way unavosiliba Profesa wenu...nitaomba nikuchagulie jina...hahahahaha! Utaitwa Mzee wa Matumaini..