Nimemfuatilia Enzo kuanzia World Cup mpaka sasa kwenye ligi yao.
Ni overrated player.
He can do passing na ni press resistant lakini sio kwa €120m ambayo Chelsea wanaenda kuitoa.
Na bahati nzuri Benfica wanapenda sana michezo ya kihuni, yani wamewavuta Chelsea mpaka kwenye asking price yao.
That's a lot of money for such a player.
Benfica mungu anawaona. Wamenunua €15m. Ghafla watu wanadai €120m. WC imempandisha mtu bei within a month.
Ila waacheni watoe tu, si mfuko wanao. Kuna sajili zikienda timu pinzani zitaniuma lakini sio Enzo.