juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Kvara n OsimhenAlafu angalia katokea ukraine huko ,,,,,
Njoo kwa Chelsea wanaenda toa £120m kwa enzo
Soko limekuwa gumu, ukichemka wenzio wanalipa hela ,,,,
Summer Napoli watafanya biashara nzuri Sana wakiamua kuuza baadhi ya stars wao !!!!
De laurentis akitaka kuwauza hao ana 200+M kwa hao wawili tu