Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Arsenal Wana option nyingine ,utaratibu huwa Kuna Majina Hadi matatuNaona tuachane nae huyu Caicedo. Hawa BHA wamepanga kutukamua. Arsenal wasiende zaidi ya hapo.
Tuangalie options zengine.
Navuta picha hapo wangeenda Spurs, Villa au timu yoyote ndogo basi wangekua washamchukua kwa £25 tu!
,tusubiri Hadi jion tuone Kama 3rd bid itatumwa au tuta Give up ,
£70m kwa Mchezaji ambaye hajafikisha Hata mechi 50 alizoanza za EPL, Mchezaji ambaye walimnunua sijui £7m , kwao hi ilikuwa jackpot