Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yale ya dogo Mudy yatajirudia na hapa?

Hii ni baada ya gemu yetu Vs City
20230128_013757.jpg
 
Odegaard na zichenko sio wazuri wakitokea benchi. Martinelli anaweza kuwa super sub.
 
Yule aliyesema Saka anakabwa na watu watatu Yuko wapi kwel arsenal Ina empty headed fans wengi ,zero brain

Ake pocketed Saka and scored the only goal of the Match.
Arsenal wanachojua ni kupiga pasi na kukimbia tu kama 'a headless chicken' matokeo yao itategemea na opponent wao atafanya errors kiasi gani.
 
Caicedo anasema ameiletea klabu 'a record transfer fee'

Chelsea walipeleka 55M

Arsenal tulipeleka 60M

Record transfer fee ya Brighton ni 63M inayoshikiliwa na Cucurella alipoenda Chelsea.

Kuna bidder mwingine tusiyemjua? Ameipin post ya debut yake ambayo alicheza dhidi ya Arsenal na akaassist.

Wakala wake kamuambia kati ya Chelsea au Arsenal kuna mmoja kapeleka zaidi ya 63M?

Dirisha linaelekea mwishoni kwa upande mwingine tunasema amefanya uamuzi mbovu kuja hadharani kudai kuondoka kwakua Brighton wanaweza reject offers easily kusubiri summer. At the same time hii ni brilliant approach kama unataka bidding war.

Mashabiki wa Arsenal wanaamini kitendo cha Caicedo kwenda hadharani baada ya ofa yetu ya 60M ni dalili anatutaka, ila kuna hizo factors inabidi tuzifikirie pia wakuu.
 
Understand Moises Caicedo could not train with the squad on Saturday after his decision to go public and ask the club to leave. #BHAFC

Caicedo will decide tomorrow — but he has been clear with Brighton: he wants to get the opportunity.

…Brighton still want to keep Moises.
 
moises_caicedo55 Moises

"Ninawashukuru Bw. Bloom na Brighton kwa kunipa nafasi ya kuja Ligi Kuu na ninahisi siku zote nimefanya vyema kwa ajili yao. Kila mara nacheza soka kwa tabasamu na kwa moyo.

"Mimi ni mdogo kati ya ndugu 10 kutoka katika malezi duni huko Santa Domingo nchini Ecuador. Ndoto yangu daima kuwa mchezaji aliyepambwa zaidi katika historia ya Ecuador.

"Ninajivunia kuweza kuleta ada ya rekodi ya uhamisho kwa Brighton ambayo ingewawezesha kuwekeza tena na kusaidia klabu kuendelea kuwa na mafanikio.

"Mashabiki wameniweka mioyoni mwao na watakuwa moyoni mwangu kila wakati kwa hivyo natumai wanaweza kuelewa kwa nini ninataka kuchukua nafasi hii nzuri."


.# voice_of_miracles
 
Back
Top Bottom