Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Hata mimi niliona, ile nafasi ya namba 6 kabisa lakini hakuwepo pale, na kulikua na gape kubwa sana pale, walipaswa kua wachezaji wawili viungo eneo lile lakini najiuliza kwann hakua pale, na kuna muda nilikua namuona yeye kama namba 6 anaenda kumpress rodri ambae pasi kapokea kutoka kwa kipa wa city.Kesho nitakuonesha video, kazinguliwa na Ode sababu ya poor positioning