DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,512
tuliza kuwashwawashwa wewe ,umekuwa kocha??grow upHolding needs to be subbed at halftime
Holding needs to be subbed at halftime
Huyu wa kutoaHolding holding rubbish
tuliza kuwashwawashwa wewe ,umekuwa kocha??grow up
For sureVieira anonymous so far
tuliza matako yako hayo,wote tunaangalia mpira,huo UCHOKO wako wa kujifanya unajua kupostpost JF uacheYou are an idiot you don’t know what you are writing
Eti Holding needs to be subbed,who are you???UCHOKO huo
Huyu Trossard 🔥
Dogo mtamu balaa,Huyu Trossard [emoji91]
Mtu mzima wanampima umri wake sio utani huo [emoji1787]
Dada kitulize basiEti Holding needs to be subbed,who are???UCHOKO huo
Kwa kipi haswaMuda wa fans wa arsenal kulikimbia jukwaa lao.
Dirisha kubwaYani tumesafisha magarasa mengi lakini huyu kabaki kweli uchawi upo
Hivi unajua hata tukifungwa still we are on top of the table!Muda wa fans wa arsenal kulikimbia jukwaa lao.
Nimeshangaa Sana ,eti offside wakati saka hajagusaHii ambayo leo kwa Arsenal imeonekana offside iangalie na goli la kwanza la United dhidi ya City