Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji599] Caicedo’s desire is to move to Arsenal. Reports,

@SamiMokbel81_DM.
IMG_20230128_081025.jpg
 
Tatzo la arsenal ni kiburi, kiburi kitawaponza nyinyi ni kawaida saana.

Ev. Daniel mgogo voive
 
Ushindi Wa Man City Jana Umepunguza Point 3,Bado Point 2 Watufikie [emoji125]
Halafu Watakuja Machinjion Walipofia Liverpool Na Manchester United February 15 Moto Utawaka
IMG_20230128_081930.jpg
 
Yule aliyesema Saka anakabwa na watu watatu Yuko wapi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kwel arsenal Ina empty headed fans wengi ,zero brain

Ake pocketed Saka and scored the only goal of the Match.
Jamaa wajinga Sana eti saka akabwe na watu watatu wakati hata mwamnyeto anaweza kumdhibiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchambuzi Ambangile

[emoji1593]Shape ya 3-2-2-3 wakiwa na mpira , Arsenal wameipress vizuri sana , man to man pressing . Trossard kwa Stones, Nketiah kwa Akanji , Saka kwa Ake , Vieira na Xhaka Vs Rodri na Lewis , Tierney anatoka pembeni anamfuata KDB ndani, Gabriel anatoka ndani kumfuata Mahrez pembeni.

[emoji1593]Tomiyasu Vs Grealish na Holding / Saliba Vs Haaland . Hii pressing ilifanikiwa kwasababu :-

1: Wingers wa City Grealish na Mahrez wanataka mpira mguuni badala ya ku run in behind Arsenal backline maana yake hata zile flicks za Haaland kwenye space iliyowazi hazina mtu

2: Ball carrier katikati , kumkosa Silva katikati ,pembeni ya Rodri

[emoji1593]Pep kubadilisha kuwa 4-4-2 kuingia kwa Alvarez kulisaidia kukabiliana na build up ya Arsenal , pressing ilikuwa nzuri zaidi tofauti na kipindi cha kwanza lakini pia iliongeza idadi ya washambuliaji mbele

[emoji1593]Arteta kaisuka Arsenal ambayo ipo sawasawa physically na technically , wachezaji wapo imara sana kimwili na wakiwa na mali wapo salama sana , ngumu kuwazuia kutoka nyuma na kufika mbele
 
TUPE MATOKEO[emoji16][emoji16]
 
Ushindi Wa Man City Jana Umepunguza Point 3,Bado Point 2 Watufikie [emoji125]
Halafu Watakuja Machinjion Walipofia Liverpool Na Manchester United February 15 Moto UtawakaView attachment 2497908
BORA KUPUNGUZA POINT TATU NA LIGI INAENDELEA UTAZIRUDISHA TU..HAPA TUNAONGELEA UMEONDOLEWA KWENYE MASHINDANO. UMEFURUSHWA [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Very true, Partey akipata majeraha ya kumuweka bench kwa mwezi tu tutazungumza mengine humu.
I think tunaweza maliza dili la Caicedo ,Kuna asilimia kubwa ...Arteta anajua chakufanya

Hawa Haters ndio walidai tumekwisha kwa kuumia Jesus,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom