Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Hapo sawa ,pia naona Arteta anataka kuweka nguvu pia kwenye Europa ,Kwa bei hizo naona ni starter au akae bench kidogo Ili Partey apaumzike dk ya 75. Ndo maana nikasema atacheza number ya Partey kama ataweza kujifunza kuwa press resistant huku Partey na Xhaka wakipokezana ile number 8 moja anayocheza Xhaka, huku Ode na Fabio wakipokezana ile 8 ya pili