Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kabisa aisee, tuna delay sana kwenye deal moja, alf ndo kama hiki kilichotokea mpaka sasa tungekua tumekamilisha sajili mbili fasta kuongeza nguvu kikosini, au hadi tufungwe ndo watakumbushwa,..
Alf ukisema watu watakuja kudai usajili ni mchakato, mbona timu zingine siku tatu ama nne deal done. Sie wiki 3
Hakuna cha mchakato wala nini that's is stupid excuse tuna squad yenye nguvu ila benchi la kifala na tuseme kuwa hao 11 players watacheza bila injuries up to June haiwezekani last year top 4 ilikosekanika sababu ya haya haya
 
Aaron Arsenal yuko wapi na simulizi zake za mudryk
Aaron Arsenal kakimbizwa hospitali presha ilishuka ghafla akadondoka chini na kupoteza fahamu, kilichompata Manara Dubai kwa mke wake wa pili ndio hichohicho kimempata ndugu yetu Aaron Arsenal kwa Mudryk, kikubwa tumuombee tu dua apone haraka ila mtihani anaoupitia ni mzito sana tusitegemee kumuona humu ndani ya kipindi kifupi.
Screenshot_20230114_234835.jpg
 
Hakuna cha mchakato wala nini that's is stupid excuse tuna squad yenye nguvu ila benchi la kifala na tuseme kuwa hao 11 players watacheza bila injuries up to June haiwezekani last year top 4 ilikosekanika sababu ya haya haya
Sema hata kuchoka, misuli itaanza kukaza, watalegea moja baada ya mwingine. Deep squad ni factor mojawapo kwa ubingwa wa EPL
 
Ngoja tuone labda kuna best option zingine zipo, nahis saiv Edu na wenzake watakua wameamka kuhusu kuchelewesha deal, kama timu haieleweki kukuuzia mchezaj achana nao basi
Aisee hizi negotiations zimechukua wiki almost 2 haziishi tu. Imetupotezea muda hata wa kufuatilia wachezaji wengine. Timu inabidi ifanye maamuzi magumu maana kukosa back up kwenye wings ama forward inaweza amua kama tutabeba ubingwa au lah.
 
Aaron Arsenal kakimbizwa hospitali presha ilishuka ghafla akadondoka chini na kupoteza fahamu, kilichompata Manara Dubai kwa mke wake wa pili ndio hichohicho kimempata ndugu yetu Aaron Arsenal kwa Mudryk, kikubwa tumuombee tu dua apone haraka ila mtihani anaoupitia ni mzito sana tusitegemee kumuona humu ndani ya kipindi kifupi.View attachment 2481427
Nakumbuka huyo one week ago alinibishia kwamba Mudryk anaipenda Arsenal hawezi kwenda Chelsea, haya sasa
Pole sana Aaron Arsenal
 
Mara paa mudrky to Chelsea ,,,,

Unaambiwa Chelsea wamesubmit 100m na shaktar wamekubali,,,,,

Bado kuafikiana na mchezaji tu,,,, as anaprefer zaidi arsenal, cku hizi mpira Ni pesa, mapenzi pembeni !

Arsenal mmesubmit 70m plus 25 to 30m adds on, alafu mnajadili hio adds on ilipwe kwa awamu,,,,wao Chelsea wanatoa 100m cash ,,,,

dah mmemfukuzia hii window yote alafu itokee mumkose !
Hizi Kima tayari zimeshapigwa na kitu kizito, na kesho Spurs wanaenda kugongelea kitu kizito kingine.
Arsenyani nyinyi wachezaji wenu ni wale wa mafungu ambao wanajulikana kabla hata dirisha la usajili halijafunguliwa
tapatalk_176192187_180x370.jpg
 
Boehly-Eghbal ni wajinga sana, unakataa kutoa 100M kwa enzo na kutafuta cover ya james unaenda kubid 100 kwa player ambae yuko desperate kujiunga na team nyingine. Ni ukos3fu wa akili.

Sajili kiungo na rb huko ndio kunashida sana

Waache recruitment team ifanye kazi yake
Enzo tulitoa 100M ikakataliwa
 
Yule Guimaraes wa Newcastle alikua 40M Arsenal tukaona ubahili lakini yule ndiyo ilibidi awe anampa presha Partey ya kuperform.

Na hata leo tukisajili mid mkali na wing average mmoja mi sina tatizo
Inasikitisha sana sorry to say this now tunafuraha kuwa top katika EPL nikajua tupo serious na hali hii tutafanya register za maana kuongeza nguvu kwenye benchi letu but bila bila
 
Liva wasidhani wakisajili sana itasaidia. Chelsea ni uthibitisho kua signings hazitakutoa hapo ulipo
Acha kudanganya wewe, waache kuisajili washuke daraja
Nyie Arsenal mmetotoa vifaranga na sasa wamekuwa wakubwa. Sio kila timu inatotoa vifaranga
Wengine tunanunua kuku walubwa
 
Akili ndio zinaanza kurudi, miaka yote kinacho wafelisha Arsenal kinaanzia kwenye dirisha la usajili.
Wachezaji wa eftatu tatu hawawezi kuwafikisha popote.
Arsenal hatujafeli malengo..msimu huu malengo ni top 4 ila timu za title contender zime underperform wametutamanisha ubingwa ndio kinachotokea

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Akili ndio zinaanza kurudi, miaka yote kinacho wafelisha Arsenal kinaanzia kwenye dirisha la usajili.
Wachezaji wa eftatu tatu hawawezi kuwafikisha popote.
Malengo yanapangwa majira ya usajiri wa joto hapa january ni niongeza tuu kwa depth ya kikosi chetu tulijipanga top 4 ila timu yetu ime click kwa haraka na timu zengine zime underperform

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Arsenal hatujafeli malengo..msimu huu malengo ni top 4 ila timu za title contender zime underperform wametutamanisha ubingwa ndio kinachotokea

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Mkuu mimi binafsi nakuhakikishia kwa kikosi chenu hiki bila kuongeza wachezaji wa maana kwenye dirisha hili la usajili hio top 4 hamtoboi.
 
Back
Top Bottom