Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mara paa mudrky to Chelsea ,,,,

Unaambiwa Chelsea wamesubmit 100m na shaktar wamekubali,,,,,

Bado kuafikiana na mchezaji tu,,,, as anaprefer zaidi arsenal, cku hizi mpira Ni pesa, mapenzi pembeni !

Arsenal mmesubmit 70m plus 25 to 30m adds on, alafu mnajadili hio adds on ilipwe kwa awamu,,,,wao Chelsea wanatoa 100m cash ,,,,

dah mmemfukuzia hii window yote alafu itokee mumkose !
 
Kwa mliomuangalia Mudryk anastahili hizo 100M?

Rais wa Shakhtar alisema kama united imetoa 100 kwa Antony na anacheza vile hawezi kukubali chini ya 100
 
Mara paa mudrky to Chelsea ,,,,

Unaambiwa Chelsea wamesubmit 100m na shaktar wamekubali,,,,,

Bado kuafikiana na mchezaji tu,,,, as anaprefer zaidi arsenal, cku hizi mpira Ni pesa, mapenzi pembeni !

Arsenal mmesubmit 70m plus 25 to 30m adds on, alafu mnajadili hio adds on ilipwe kwa awamu,,,,wao Chelsea wanatoa 100m cash ,,,,

dah mmemfukuzia hii window yote alafu itokee mumkose !
Hawajatoa cash

Wametanguliza 75M

Ripoti zinasema mchezaji haoni shida kujiunga chelsea

Next hrs atakua London
 
Alifanya hivi kwa Raphinha

Raphinha anaitaka Barca. Ila deal ikifeli yuko tayari kwenda Arsenal.

Boehly akaenda kukubaliana na Leeds kabla ya mchezaji.

Kilichotokea tunakijua
Now imekuwa tofauti maana according to David Ornstein
''Mudryk is on his way to London to undergo a medical at Chelsea, AGREEMENT REACHED. €70m+€30m add ons.''
 
Alifanya hivi kwa Raphinha

Raphinha anaitaka Barca. Ila deal ikifeli yuko tayari kwenda Arsenal.

Boehly akaenda kukubaliana na Leeds kabla ya mchezaji.

Kilichotokea tunakijua
Nilisema na ninasema tena. Case ya Raphina na Mykhailo ni two different cases
Raphina yeye Barca ni timu ya ndotoni, tofauti na Myakhailo yeye aliisifia Arsenal tu kwa uchezaji mzuri. Kwa taarifa yenu Mykhailo ameishaipa Chelsea go ahead na yuko tayari kutua darajani. Wachezaji kama hawa wao ndoto yao ni kuichezea timu kubwa kwenye ligi kibwa. Hata wangeenda liver, city, man u angekibali tu.
Welcome Mudy to Stanford Bridge
 
Boss wenu amekua kichaa, anamwaga hela tu! Ni vile Kama anasikilizia tu akisikia Kuna mchezaji mzuri pahala anazama mazima [emoji1]!

Kuja kuwa-offload kina Kai, hakimu, pulisic itakuwa kazi sana
 
Mara paa mudrky to Chelsea ,,,,

Unaambiwa Chelsea wamesubmit 100m na shaktar wamekubali,,,,,

Bado kuafikiana na mchezaji tu,,,, as anaprefer zaidi arsenal, cku hizi mpira Ni pesa, mapenzi pembeni !

Arsenal mmesubmit 70m plus 25 to 30m adds on, alafu mnajadili hio adds on ilipwe kwa awamu,,,,wao Chelsea wanatoa 100m cash ,,,,

dah mmemfukuzia hii window yote alafu itokee mumkose !
Mtakuwa mmetunyang'anya tongue mdomoni. Hata hivyo ndiyo maisha na biashara. Tumtakie Kila la kheri. Asije akatufunga tu sisi
 
Boss wenu amekua kichaa, anamwaga hela tu! Ni vile Kama anasikilizia tu akisikia Kuna mchezaji mzuri pahala anazama mazima [emoji1]!

Kuja kuwa-offload kina Kai, hakimu, pulisic itakuwa kazi sana
Maono ya Boehly ni kuisuka timu upya, hao unaowataja tutakuja kuwapa bure
 
Nilisema na ninasema tena. Case ya Raphina na Mykhailo ni two different cases
Raphina yeye Barca ni timu ya ndotoni, tofauti na Myakhailo yeye aliisifia Arsenal tu kwa uchezaji mzuri. Kwa taarifa yenu Mykhailo ameishaipa Chelsea go ahead na yuko tayari kutua darajani. Wachezaji kama hawa wao ndoto yao ni kuichezea timu kubwa kwenye ligi kibwa. Hata wangeenda liver, city, man u angekibali tu.
Welcome Mudy to Stanford Bridge
Scenario siyo hiyo unayodai

Ila natumaini Mudryk atatatua shida yenu
 
Pale Chelsea kwa mpira wao ataenda kuflop, swala la muda tu
Siwezi kusema ataflop au kumwombea hivyo. Kumbuka pale darajani Kuna bonge la project linajengwa. Atakuwa na kina Nkunku na wengine kama 50 hivi so atakuwa katika kikosi kizuri ambacho kikikaa sawa uwanjani kitasumbua sana. Kwa sasa wako katika transition period hivyo hatuwezi kuwajudge Kwa performance za hivi karibuni. Wapate muda wa tulie wajijenge wataonesha uwezo wao.
 
Now imekuwa tofauti maana according to David Ornstein
''Mudryk is on his way to London to undergo a medical at Chelsea, AGREEMENT REACHED. €70m+€30m add ons.''
Anyway kwa mtazamo wa kishabiki arsenal tumefeli kupata tulochotaka na hili hakuna haja ya kulionea aibu.it was a battle and we failed.

Ila kuna mambo ya kujiuliza nje ya ushabiki.

Mchezaji kutoka ligi ya poland anastahili pesa hiyo?

Je mchezaji aliyenunuliwa kwa bidding war kwenye mshahara ataweza kuendana na sera za mishahara za klabu? maana kuna waliotayari kumpa mshahara mkubwa ili wampate

Hebu tazama pending za mikataba ya perfoming players kama saka,saliba,martinell ambazo naamini zinacheleweshwa na sera za malipo za klabu unafikiri ujio wa mchezaji kama mudrik ungeathiri vip muendelezo wa mazungumzo ya mikataba mipya.(kutokana na mshahara ambao angedai)

Je ushawahi kujiuliza athari anayoipata mchezaji pale anaponunuliwa kwa gharama kubwa halafu akachelewa ku adapt na kudeliver?

Nataka niwaambie kitu guys
1-mkurugenzi wa shaktar ameshinda vita ya kupandisha thamani ya mchezaji wake kwa bei aliyoitaka.
2-mchezaji atafanikiwa kupata mshahara mnono anaoutaka kutokana na team zilivyo desperate kwenye soko
3-fabrizio romano,charles watts na david oumstain wamefanya kazi ya shaktar iwe rahisi kwa kujua au kutojua au yote mawili
4-wakala wa mudrick amefanya kazi yake vizuri na hapa mendez atajifunza kitu.(klabu inapata inachotaka na mchezaji amepata anachotaka)
5-moral of mudrick saga ni ndogo na kubwa na inatufundisha mambo mawili kwenye medani ya usajili. Mosi twende kimya kimya kama tulivyofanya kwa vieira au tunapotangaza kumtaka mtu wazi tusitumie muda mrefu kwenye mazungumzo ili kuepusha biding war.
6-we know what we want at reasonable price
7-Tusiamini claim ya mchezaji kwamba anaipenda klabu tukapumbazika.pesa na mapenzi ni ndugu wa damu.
8- There is always plan A,B,C.Tusubiri watatuletea nani

Welcome epl mudrick the home of gladiators and not heroes.try to survive
 
Scenario siyo hiyo unayodai

Ila natumaini Mudryk atatatua shida yenu
Wewe ndi huelewi, idara zote tunasajili sio Mykhailo tu

Timu inasukwa upya.
Wa zamani watakaobaki ni wachache sana
Takataka zote tunatupa Dumpo mkaokote huko

  1. Pilisic
  2. Cheek
  3. Mendy
  4. Chalobah
  5. Jorginho
  6. Kovacic
  7. Auba
  8. Koulibaly
  9. Ziyech
  10. Broja
  11. Galagher
  12. Azpilicueta
  13. Lukaku
Hizo takataka mziwahi kule dampo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom