Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mmalize shida zenu mapema na kukichukua hicho kituko chenu mudryk kutoka shaktar, ili msitafute sababu nitakapo maliza kumnyoosha crystal palace na kuja kuchukua point zangu 3 hapo Emirates jumapili ijayo, na hatuna utani.

Kama mnafikiria utani, mulizeni man fisi kilichomtokea Leo ndio mtajua hamjui.
Unajua kujipa moyo brother
 
Hii City ndiyo iliipiga sita United first round.

Kwa game nilivyoiona City ilikua inacheza bila passion wala nia, hawakua na pattern inayoeleweka, forwards zilikua zinaogopa kushut. Kati ya wote aliyeonyesha anatamani kushinda ni Grealish.

Utaona Grealish anadribble kulifuata goli unaona wenzake wamesimama wanamuangalia.

Game ingependeza ingeisha suluhu.

United are full of passion.
Walikuwa wanacheza kama wamekremisha maelezo, mtu anapata mpira yupo kwenye nafasi ya kushoot, anapiga pasi pembeni, mtu ana receive mali, bila kutizama nyuma anipiga pasi ya pembeni wakati
Alikuwa na uwezo wa kuturn, wwanacheza kama wako programmed vile.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tajiri hajielewi
Screenshot_20230114-192638_Instagram.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tajiri hajielewiView attachment 2481179
Amepanick, kila mchezaji anamtaka

Yeye ndo scout, yeye ndo sporting director

Dirisha kubwa katumia £300M kasajili mabeki ambao ni uchochoro tu, kwenye ligi wana goal difference ya sifuri
 
Walikuwa wanacheza kama wamekremisha maelezo, mtu anapata mpira yupo kwenye nafasi ya kushoot, anapiga pasi pembeni, mtu ana receive mali, bila kutizama nyuma anipiga pasi ya pembeni wakati
Alikuwa na uwezo wa kuturn, wwanacheza kama wako programmed vile.
Maajabu yake wakikutana na sisi hawatacheza ujinga huu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tajiri hajielewiView attachment 2481179
Boehly-Eghbal ni wajinga sana, unakataa kutoa 100M kwa enzo na kutafuta cover ya james unaenda kubid 100 kwa player ambae yuko desperate kujiunga na team nyingine. Ni ukos3fu wa akili.

Sajili kiungo na rb huko ndio kunashida sana

Waache recruitment team ifanye kazi yake
 
Muache tajiri atumie pesa yake
 
Boehly-Eghbal ni wajinga sana, unakataa kutoa 100M kwa enzo na kutafuta cover ya james unaenda kubid 100 kwa player ambae yuko desperate kujiunga na team nyingine. Ni ukos3fu wa akili.

Sajili kiungo na rb huko ndio kunashida sana

Waache recruitment team ifanye kazi yake
Alifanya hivi kwa Raphinha

Raphinha anaitaka Barca. Ila deal ikifeli yuko tayari kwenda Arsenal.

Boehly akaenda kukubaliana na Leeds kabla ya mchezaji.

Kilichotokea tunakijua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom