Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Boss wenu amekua kichaa, anamwaga hela tu! Ni vile Kama anasikilizia tu akisikia Kuna mchezaji mzuri pahala anazama mazima [emoji1]!

Kuja kuwa-offload kina Kai, hakimu, pulisic itakuwa kazi sana
Summer wanaondoka hao. Hata kwa bei ya hasara kai ni 50/50

Kingine kwenye hili deal la Mudryk Paul Wistanley ambae ni mkurugenzi wa ufundi kutoka Brighton ndie amehusika. Paul alikuwa na Potter wote Brighton natumai hata hili deal potter atakuwa amehusika.
 
Anyway kwa mtazamo wa kishabiki arsenal tumefeli kupata tulochotaka na hili hakuna haja ya kulionea aibu.it was a battle and we failed.

Ila kuna mambo ya kujiuliza nje ya ushabiki.

Mchezaji kutoka ligi ya poland anastahili pesa hiyo?

Je mchezaji aliyenunuliwa kwa bidding war kwenye mshahara ataweza kuendana na sera za mishahara za klabu? maana kuna waliotayari kumpa mshahara mkubwa ili wampate

Hebu tazama pending za mikataba ya perfoming players kama saka,saliba,martinell ambazo naamini zinacheleweshwa na sera za malipo za klabu unafikiri ujio wa mchezaji kama mudrik ungeathiri vip muendelezo wa mazungumzo ya mikataba mipya.(kutokana na mshahara ambao angedai)

Je ushawahi kujiuliza athari anayoipata mchezaji pale anaponunuliwa kwa gharama kubwa halafu akachelewa ku adapt na kudeliver?

Nataka niwaambie kitu guys
1-mkurugenzi wa shaktar ameshinda vita ya kupandisha thamani ya mchezaji wake kwa bei aliyoitaka.
2-mchezaji atafanikiwa kupata mshahara mnono anaoutaka kutokana na team zilivyo desperate kwenye soko
3-fabrizio romano,charles watts na david oumstain wamefanya kazi ya shaktar iwe rahisi kwa kujua au kutojua au yote mawili
4-wakala wa mudrick amefanya kazi yake vizuri na hapa mendez atajifunza kitu.(klabu inapata inachotaka na mchezaji amepata anachotaka)
5-moral of mudrick saga ni ndogo na kubwa na inatufundisha mambo mawili kwenye medani ya usajili. Mosi twende kimya kimya kama tulivyofanya kwa vieira au tunapotangaza kumtaka mtu wazi tusitumie muda mrefu kwenye mazungumzo ili kuepusha biding war.
6-we know what we want at reasonable price
7-Tusiamini claim ya mchezaji kwamba anaipenda klabu tukapumbazika.pesa na mapenzi ni ndugu wa damu.
8- There is always plan A,B,C.Tusubiri watatuletea nani

Welcome epl mudrick the home of gladiators and not heroes.try to survive
Usajili ni gampling, anaweza flop au asiflop. Asipoflop tumeula
 
Wewe ndi huelewi, idara zote tunasajili sio Mykhailo tu

Timu inasukwa upya.
Wa zamani watakaobaki ni wachache sana
Takataka zote tunatupa Dumpo mkaokote huko

  1. Pilisic
  2. Cheek
  3. Mendy
  4. Chalobah
  5. Jorginho
  6. Kovacic
  7. Auba
  8. Koulibaly
  9. Ziyech
  10. Broja
  11. Galagher
  12. Azpilicueta
  13. Lukaku
Hizo takataka mziwahi kule dampo
Kumbe koulibaly ni wazamani
Hii timu vichwa maji sana[emoji3][emoji3]
 
TULIZA HASIRA BRO. Wamarekani wanatumia pesa yao si yako
Sisi ni mashabiki tu
Kwani Koulibally ni kijana au umenielewa vibaya niliposema wa zamani pole sana. Wa zamani kwa umri na kuwepo kwenye timu. Wasioperform wote tunawaondoa. Hata Havertz atatoka mshahara anakula mkubwa halafu haleti matunda yanayoitakiwa
 
Soko la usajil now lishaharibika na litazidi kuharibika.
Sasa hivi 100M ni kama 40 ya miaka ya nyuma.
 
TULIZA HASIRA BRO. Wamarekani wanatumia pesa yao si yako
Sisi ni mashabiki tu
Kwani Koulibally ni kijana au umenielewa vibaya niliposema wa zamani pole sana. Wa zamani kwa umri na kuwepo kwenye timu. Wasioperform wote tunawaondoa. Hata Havertz atatoka mshahara anakula mkubwa halafu haleti matunda yanayoitakiwa
Koulibaly mmemchukua lini?
Ata msimu kamaliza hapo darajani?
Mnamkataba nae kwa miaka mingapi?

Kubwa zaidi mlilipia kiasi gani kwa koulibaly?
Au ndio biashara kichaa kama ya lukaku?
 
Vita vimeisha
1673723062737.png
 
Kwanza ata 90m ni nyingi sana kwa mchezaji kutokea Poland
Huyo mudryk ni 60m hadi 70m top top hapo

100m unavuta wachezaji wawili safi kabisa
Au ata kwa 3 hiyo 100m inagawanyika
Ni kweli soko la usajiri limechafuka/limeharibika ila sio kiivyo

Liverpool hadi dakika hii wanatamani wampige risasi Nunez

Kuna kipindi arteta na Pepe nilihisi hawaongei, ukiangalia price yako alafu haufundishiki ujue unashikwa sana na hasira

Au lukaku anatoka inter kwa 90+m
Alafu baada ya msimu mmoja anarudi kule kule kwa mkopo[emoji3]

Mifano ipo mingi sana, let's play smarter
Nipo na edu and arteta kwenye hili
 
Wewe ndi huelewi, idara zote tunasajili sio Mykhailo tu

Timu inasukwa upya.
Wa zamani watakaobaki ni wachache sana
Takataka zote tunatupa Dumpo mkaokote huko

  1. Pilisic
  2. Cheek
  3. Mendy
  4. Chalobah
  5. Jorginho
  6. Kovacic
  7. Auba
  8. Koulibaly
  9. Ziyech
  10. Broja
  11. Galagher
  12. Azpilicueta
  13. Lukaku
Hizo takataka mziwahi kule dampo
Unaamini kuna mpuuzi wa kuja Arsenal hapo?
 
Anyway kwa mtazamo wa kishabiki arsenal tumefeli kupata tulochotaka na hili hakuna haja ya kulionea aibu.it was a battle and we failed.

Ila kuna mambo ya kujiuliza nje ya ushabiki.

Mchezaji kutoka ligi ya poland anastahili pesa hiyo?

Je mchezaji aliyenunuliwa kwa bidding war kwenye mshahara ataweza kuendana na sera za mishahara za klabu? maana kuna waliotayari kumpa mshahara mkubwa ili wampate

Hebu tazama pending za mikataba ya perfoming players kama saka,saliba,martinell ambazo naamini zinacheleweshwa na sera za malipo za klabu unafikiri ujio wa mchezaji kama mudrik ungeathiri vip muendelezo wa mazungumzo ya mikataba mipya.(kutokana na mshahara ambao angedai)

Je ushawahi kujiuliza athari anayoipata mchezaji pale anaponunuliwa kwa gharama kubwa halafu akachelewa ku adapt na kudeliver?

Nataka niwaambie kitu guys
1-mkurugenzi wa shaktar ameshinda vita ya kupandisha thamani ya mchezaji wake kwa bei aliyoitaka.
2-mchezaji atafanikiwa kupata mshahara mnono anaoutaka kutokana na team zilivyo desperate kwenye soko
3-fabrizio romano,charles watts na david oumstain wamefanya kazi ya shaktar iwe rahisi kwa kujua au kutojua au yote mawili
4-wakala wa mudrick amefanya kazi yake vizuri na hapa mendez atajifunza kitu.(klabu inapata inachotaka na mchezaji amepata anachotaka)
5-moral of mudrick saga ni ndogo na kubwa na inatufundisha mambo mawili kwenye medani ya usajili. Mosi twende kimya kimya kama tulivyofanya kwa vieira au tunapotangaza kumtaka mtu wazi tusitumie muda mrefu kwenye mazungumzo ili kuepusha biding war.
6-we know what we want at reasonable price
7-Tusiamini claim ya mchezaji kwamba anaipenda klabu tukapumbazika.pesa na mapenzi ni ndugu wa damu.
8- There is always plan A,B,C.Tusubiri watatuletea nani

Welcome epl mudrick the home of gladiators and not heroes.try to survive
Arsenal wamefanya indirect transfer market. Nafikiri wameamua kustick na project yao. Lengo lao halikuwa kusajili mchezaji wa kuwapa ubingwa msimu huu, isipokuwa wapate mchezaji kwa reasonable price si ajabu hata wasisajili tena wakastick na Emile Smith Rowe tumeona kwa Dusana na Raphinah.
 
"Majirani pambaneni mbebe ndoo msimu huu, tuko upande wenu. Wanaume tukianza ligi msimu ujao hatutaacha hata kikombe cha mbuzi inazagaa zagaa.
Take this as a warning"
Labda misimu miwili mbele (huu na ujao)
Timu sio choo kwamba ukishachimba shimo kufunika na kuanza kutumia

Tomas T, alifanya mapendekezo na usajiri. Mkamtimua mkampa kazi chicknoris, amabapo yeye na TT falsafa tofauti
Matokeo mabovu, hakuna mpira unaochezwa

Chicknoris
Anafanya mapendekezo na usajiri, mambo yakienda mrama (90% possible) nae mtamtimua atakuja kocha mwingine mwenye falsafa tofauti na yeye atataka wachezaji wake. Fagio litaanza tena

process sio kitu rahisi.
Japo niwatakie tu kila la kheri
 
Soko limeharibika siku hizi... Huyu mudryk angetakiwa na dortmud bei isingekuwa huko..
Ni kucheza kamari tu, unaweka hela ussajiki ukitiki sawa ukibuma unafumba macho.
Player yoyote yule akiwa linked na team za England price yake mpk hapo ishapanda, Team kama wolves,Notting forest wanasajil mchezaj kwa £50M. Or ufanye kama Brighton wanavyofanya sasa

Summer Everton walibid 40M kwa mudryk ikawa rejected.

Leo hii Dg wa miaka 16 Endrick kasajiliwa madrid kwa 60M .

Sahiv na stil ukizingua watu wanakutoa[emoji1787][emoji1787]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom