Huyo jamaa anataka kuleta ujuaji halafu Hana details zozote kuhusu Arsenal ,Kuna watu Arsenal Ni part time job yetu .
Project ya Arsenal Ni ya miaka mitano ,sio fluke , kipind kigumu Cha awali ,Arteta alitukanwa na kubezwa
Kaondoa mizogo mingi, karudisha heshima Emirates , mpira Sasa Ni sex football had cr7 kakubali
Watu wanasajiri sio kwa kukurupuka
Anamtaka Joao Felix ,anamponda Murdky ,Vieira [emoji1787]
Hajui Murdky watu wamemfanyia skauti sio Kama yeye kuona clips YouTube ,
Unaweza kumleta Huyo Felix akaishia kuwa Mzigo, mifano ipo mingi Sana
Kwani Pepe Ni mbaya? Ni zao la Sajiri za kutozingatia play style ya timu .