Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ubingwa mweupe
Cupace20221113012134491.jpg
 
fábio vieira kajitahidi kucheza kwenye role ya xhaka ;anachotakiwa kuongeza ni stamina tu

pamoja na kujiamini uwnjani.

Sent from my itel A661W using JamiiForums mobile app
Akicheza na wanaojua anaimarika ,Ila akicheza na kina lokonga na nketiah anakuwa ovyo

Angalia hata Brentford alipoanza alicheza vzr ,Ila Mechi za Cups anazocheza na kina lokonga utamkataa

Arteta kasema inabidi azoee haraka ,maana atatumika nafasi ya Ødegaard na ya Xhaka

Project haimsubiri ,

Lokonga naona shughuli imeisha ,mkopo soon unamuhusu
 
HIZI HUJUMA ZA KINA Flano MNALETA FIGISU

Arteta says the sickness issue with certain players started after the pre-match meal today. He wouldn't say what they ate.
 
The record will show:
Goal - Martin Ødegaard
Assist - Fabio Vieira
But Arsenal's first goal was made by Gabriel Jesus. Those who only peruse stats will talk about his lack of goals. Those of us who actually watch games know that Jesus makes Arsenal win. With/without goals
 
The record will show:
Goal - Martin Ødegaard
Assist - Fabio Vieira
But Arsenal's first goal was made by Gabriel Jesus. Those who only peruse stats will talk about his lack of goals. Those of us who actually watch games know that Jesus makes Arsenal win. With/without goals
Sisi wenyewe tunajua mchango wake na umuhimu wake pale dimbani.

Wenginr mpira wa takwimu hatuujui, tunaujua wa uwanjani..

Mfano jana wachezaji wa Brentford wamemponheza saana ivan toney, si mbaya sababu kapoga mbili, ila yule kipara, kibichwa nkurungu aliyechukua mali toka chini, akakimbia nao meters kadhaa kabla ya kumpasia aliyetoa assist anastahili sifa pia.
 
Kabla ya game na Chelsea alikuwa Moto Sana, wakataka kumvunja , akaanza kuwa muoga ,

Alipost Ni ndoto toka akiwa mdogo kucheza world cup
Tunamsamehe, tunataka arudi na moto ule ule la sivyo akija mtu atasugua kijana wetu.
 
Tulimtaka toka yupo Brazil ,kipind Cha Unai, tukajizungusha ,Unai na genge lake wakawa hawaeleweki wanataka Nini, akaenda France , tukamkosa, mwishoni ,magpies wakaweka Mzigo,

Now Chelsea ,Madrid wanamtaka , Muarabu kasema hakuna wakumnunua

Jamaa Ni Gundogan mtupu ,energy yakutosha
Ndio basi, tuangalie ustaarabu mwingine tu.
 
Kuna lawama zilikuwa Kuhusu Vieira ,nilichogundua Akicheza na wanaojua anajiamini , atafanya vizuri Zaidi , akicheza na kina lokonga na wanaopoteza mipira Kama Nketiah
Tutamuona wakwaida


Nimependa jinsi alivyoelewa Role ya Xhaka

Mchezaji anayehitaji kuzoea ukimtumbukiza kwa wanaojua anawai kuzoea ,ukimtumbukiza kwa wanaozingua anazingua Zaidi .


Fabio vieira kacheza vizuri jana
 
Kurudi kwa Smith Rowe itakuwa kama usajili mpya, Bila kusahau Fabio Vieira atapata muda mzuri na team maana alikosa Pre-season

Magoli ya Smith Rowe, Usajili mpya January utatuweka sehemu salama, Pepo la majeraha likae mbali na timu yetu .

Smith Rowe na Zinny Zinchenko Ndio wachezaji ninaowakubali Sana.
IMG_20221113_075121.jpg
 
Gnabry
Iwobi
Joe Wilock,,,

Gunners mlikosea Sana kuziacha hizi talents,,, huko walipo wanakiwasha Sana !!!
 
Kuna lawama zilikuwa Kuhusu Vieira ,nilichogundua Akicheza na wanaojua anajiamini , atafanya vizuri Zaidi , akicheza na kina lokonga na wanaopoteza mipira Kama Nketiah
Tutamuona wakwaida


Nimependa jinsi alivyoelewa Role ya Xhaka

Mchezaji anayehitaji kuzoea ukimtumbukiza kwa wanaojua anawai kuzoea ,ukimtumbukiza kwa wanaozingua anazingua Zaidi .


Fabio vieira kacheza vizuri jana
FACT kwa kweli hata vs Brentford aliubonda balaa hata kwa normal people ukikaa na watu wasiojua automatically na wewe utakuwa hvyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom