Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mechi dhidi ya man u ni kumbusho juu ya umuhimu wa kua na kiungo mbadala zaidi ya Partey. Ni kweli tumewafunga mfululizo lakini bila Partey ilikua ngumu sana.
Positive things nilishangaa kiungo Lokonga ,Lakini wapo home wanapaki Basi
 
Ghana na uswisi watoke mapema World Cup.

Partey na xhaka warudi watulie

IMG_20221113_104641.jpg
 
Ninafsi bado namuona Lokonga very potential future prospect. Lokonga anahitaji kupata experience, hasa toka kwa seniors, acheze mfululizo alongside Partey, timu ikiwa imekamilika, ni mchezaji mzuri sana. Mchezaji hata akiwa mzuri, akiwekwa na average players anaonekana average pia.
 
| @FabrizioRomano:


"Nadhani Arsenal ndio mahali pazuri pa Mykhaylo Mudryk: Ligi ya Premier, project yao nzuri, wachezaji wachanga na meneja bora na bodi."

| “Nadhani tutaiona Arsenal ikiwa tayari kuwekeza katika usajili zaidi Januari hii. Wamekuwa wazuri sana kwenye Ligi Kuu, sasa pointi tano mbele na ni fursa kubwa kama wanaweza kuimarika zaidi katikati ya msimu.”
IMG_20221112_142317.jpg
 
Barça are eyeing Tielemans in the January window but would have strong competition from Arsenal, who are moving very hard to tie down the midfielder who can play both inside,as a pivot and who has a very good arrival in the opponents box.

(@martinezferran) TIER 1
 
Zinchenko should be getting similar plaudits to those in which Gabriel Jesus is receiving.

His pass volume, press resistance and constant inversions are largely why Arsenal control 90% of each game they play.

He’s also brave to back up the press by pressing really high.Zinchenko should be getting similar plaudits to those in which Gabriel Jesus is receiving.

His pass volume, press resistance and constant inversions are largely why Arsenal control 90% of each game they play. He’s also brave to back up the press by pressing really high.Even Jesus himself - the bigger implications of his actions are the reason why Arsenal have transformed themselves. Not only is he a top individual player but his pressing and ability to operate as an outlet enables Arsenal to get up the pitch more quickly on and off the ball.


City have Haaland and Cancelo in the positions that Jesus and Zinchenko occupy and although they may be better individually, the reason Arsenal are so good is because their pair have elevated the rest of the team who needed exactly what they offer - physicality/press resistance.It was always a case of getting more control for Arsenal, and the simple fact of the situation is that they needed more athleticism up front to stretch the pitch and better technical quality in the build-up. They now have it and others have more opportunities to attack.

The more time you sustain pressure the more time you can (counter)press high and try to break down low blocks. Either way, each scenario results in players like Saka, Ødegaard and Martinelli getting the ball more often in the oppositions final third, and that’s a great thing.

IMG_20221107_183833.jpg
 
Juventus will speak with OM and Arsenal so that Tavares gets released from his loan early and can join them

(@FilSport)
 
Wazungu Wana tabia ya ku-appreciate kitu pasipo kuegemea upande wowote ! Pep, na kina sane kumsifia sio hoja Ni Jambo la kawaida !
Tumsubiri afikie kwenye peak (kushinda makombe makubwa ) ndo tuje kumjadili ,,, isije kuwa one season wonder (kitu ambacho sikitegemei )

Pia Pierre akiwa Barca Kuna comments aliongea kumhusu ,,,, let's wait.!! Inaonekana jamaa hawez ku-manage mastar wakubwa,,,, ozil lacca auba (refference )

The future is bright ! Nyota njema huonekana asbh !!!
Tuache wivu ,
IMG_20221111_152630.jpg
 
mnakuja Emirates ,

Ile mech angekuwepo hata Elneny msingechomoka

Kama Kuna Siku niliwadharau Ni hiyo siku,

Kiungo lokonga 3rd choice ,Lakini mlishindwa kumiliki mpira, mpo home ,

Kaunta attack ikawaokoa,

Kwa timu kubwa iliyotumia £250m ilikuwa aibu kucheza Kama Burney,

Najua hamfurahii huo mpira ,Ndio maana mlipocheza vzr dhidi ya Spurs na Chelsea mlishangilia sana
Lini arsenal mliacha kutupigia mpira mzee mbona tunawajua toka enzi za wenger nyie ni Barcelona ya England pira la wenger na arteta lipi pira linavutia.

bado sihamini kama arsenal mnakikosi cha ku chalange ubingwa ni mtazamo wangu tu.
 
Aige uchezaji wa Zinchenko.

Akifosi kua kama Tierney atasumbuka kwakua hana defensive awareness kubwa
Anauzwa ,Arsenal Wana option 3 eneo Hilo Zinny, Tierny na Tomiyasu

Arsenal Wana cash pesa nzuri soon
 
Lini arsenal mliacha kutupigia mpira mzee mbona tunawajua toka enzi za wenger nyie ni Barcelona ya England pira la wenger na arteta lipi pira linavutia.

bado sihamini kama arsenal mnakikosi cha ku chalange ubingwa ni mtazamo wangu tu.
Endelea kuota
 
Lini arsenal mliacha kutupigia mpira mzee mbona tunawajua toka enzi za wenger nyie ni Barcelona ya England pira la wenger na arteta lipi pira linavutia.

bado sihamini kama arsenal mnakikosi cha ku chalange ubingwa ni mtazamo wangu tu.
Tokea lini Academy team wakachalange ubingwa wa Epl?
Mashabiki wao wenyewe wanajua kabisa kua wao ni wasindikizaji wa mabingwa ila kwenye Epl hawana chao.
Jamaa waongoza ligi lakini mentality ya mashabiki ipo kwenye kupambania wawepo kwenye top4

#Ngoma ya watoto haikeshi.
 
kwa system ya arteta ;sioni ata play role ipi na ku fit in ata 75% tu..

Sent from my itel A661W using JamiiForums mobile app
Kuna wakati Arteta alikua anatumia beki wa pembeni kujaa juu kabisa hasa tukiwa tunashambulia alf LW anaingia ndan kama namba 10s hapo atafiti sana, kama alivyokua anamtumia Tieney na Smith rowe last season, ila season hii nimeona LB anaingia katikat kutengeneza double 6.
 
Back
Top Bottom