mfano
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 670
- 1,132
Conte hana mda wanamchomoa, wamrudishe pochetino
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Kanda maumivu yako kwanzaLigi bado sana hii ewe arsenyeto
Umekimbia Jf kenge wewematakataka siku hizi munasumbua balaa..arse8 bwana![]()
Mkuu unavyompamba utadhani Mikel Ni Don Carlo, sir Alex, Special one ama Pep! Kwa kifupi ndio ameanza managerial career, apewe muda walau 10 years ndo utakuja kuandika haya ,,,,,Labda kwa makocha wengine, ila Pep huwa mkweli, had kwenye Kitabu chake amemuelezea Mikel Arteta, ameelezea aliwahi kumuomba mbinu jinsi ya Kuifunga Chelsea ,Wakati huo Arteta Ni mchezaji ,pep kocha Barca
Kipind Arteta amefika Arsenal Kama kocha alipoaanza kujenga timu Kuna mashabiki walileta Maneno, akasema Watu hawamjui Arteta ,akasema Kama Bodi ya arsenal itamfukuza watakuja kujuta
Juz Rio kamuuliza Pep kwenye kipind BT SPORT , kamuambia inaonekana umetengeneza Monster (Arteta)
Pep akasema ,Arteta Anajua Sana na hata yeye Pep amejifunza vingi
Arteta pia aliulizwa vipi mnawasiliana na pep had Sasa, akasema kila Siku wanajadili Kuhusu mpira , ila sio Kuhusu Arsenal na city
Wachezaji wa mancity kina KDB, n.k hata kina Sane, Sterling,Jesus ,Zinny wanamzungumzia Arteta Kama moja ya wakufunzi Bora.
WELL SAIDMkuu unavyompamba utadhani Mikel Ni Don Carlo, sir Alex, Special one ama Pep! Kwa kifupi ndio ameanza managerial career, apewe muda walau 10 years ndo utakuja kuandika haya ,,,,,
Wazungu wanapenda sana kuapprecitiana ndo hulka yao,,,, ! hAta akikufunga kwenye post match conference atawasifia adui zake na kusema pengine hawakuwa na bahati , au atasema timu nzuri imepoteza, na wapo wazi wazungu wanaweza kusema tumeshinda lakini hatukua na mchezo mzuri! Bongo je ? Kichekesho !
Tunza maneno ,,,, Mikel ashinde walau EPL 2, UEFA Moja ndo uje uongee haya !!


Olashoga punga la Chuga. Mnakimbizwa tu na Newcastlematakataka siku hizi munasumbua balaa..arse8 bwana🤣🤣🤣
Acha kuweka mambo yako hadharaniOlashoga punga la Chuga. Mnakimbizwa tu na Newcastle
Mkuu unavyompamba utadhani Mikel Ni Don Carlo, sir Alex, Special one ama Pep! Kwa kifupi ndio ameanza managerial career, apewe muda walau 10 years ndo utakuja kuandika haya ,,,,,
Wazungu wanapenda sana kuapprecitiana ndo hulka yao,,,, ! hAta akikufunga kwenye post match conference atawasifia adui zake na kusema pengine hawakuwa na bahati , au atasema timu nzuri imepoteza, na wapo wazi wazungu wanaweza kusema tumeshinda lakini hatukua na mchezo mzuri! Bongo je ? Kichekesho !
Tunza maneno ,,,, Mikel ashinde walau EPL 2, UEFA Moja ndo uje uongee haya !!



umeongea ukweli mtupu, mashabiki wa Arsenyani wengi ni bendera hufata upepo, wakisikia mapundit kwenye sky sports wanamsifia Arteta basi nao wooote wanatembea na upepo huo, mambo yakibadilika zikaanza Hashtag za "Arteta Out" na wao utawaona humohumo.Kimbembe ikifika April unawakuta nafasi ya 6 wanapambania kuingia top4.Arsenal kwa mara ya kwanza tangu miaka 15 iliyopita itaongoza ligi Krismasi
Olashoga mshakalia tayariAcha kuweka mambo yako hadharani
Olashoga punga la chugaAcha kuweka mambo yako hadharani
Ndani ya miaka 10 iliyopita hadi sasa umeiona arsenal imeongoza mara ngapi ligi kufikia x mass??Kimbembe ikifika April unawakuta nafasi ya 6 wanapambania kuingia top4.