Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Gnabry
Iwobi
Joe Wilock,,,

Gunners mlikosea Sana kuziacha hizi talents,,, huko walipo wanakiwasha Sana !!!
 
Kuna lawama zilikuwa Kuhusu Vieira ,nilichogundua Akicheza na wanaojua anajiamini , atafanya vizuri Zaidi , akicheza na kina lokonga na wanaopoteza mipira Kama Nketiah
Tutamuona wakwaida

Nimependa jinsi alivyoelewa Role ya Xhaka

Mchezaji anayehitaji kuzoea ukimtumbukiza kwa wanaojua anawai kuzoea ,ukimtumbukiza kwa wanaozingua anazingua Zaidi .

Fabio vieira kacheza vizuri jana
FACT kwa kweli hata vs Brentford aliubonda balaa hata kwa normal people ukikaa na watu wasiojua automatically na wewe utakuwa hvyo
 
Wana gunners punguzeni fujo huko mitaani

Hii si sawa kabisa
IMG-20220822-WA0009.jpg
 
Sawa lakini uongee uhalisia unaoeleweka,,,, Mikel ndo anaanza, tumpe muda ! Maneno huumba mkuu!!!!

Otherwise, tuenjoy good game,,, !
Ila kasema uhalisia ,hata juzi Rio Ferdinand alimuuliza Pep Kuhusu Arteta akamjibu .

Labda Kama hujapendezwa anavyosifiwa na hao, ila jamaa kaanza kusifiwa toka anacheza na kina pochetinho , wakimuona atakuja kuwa Kocha mzuri,

Labda unisaidie na Mimi wapi unaona pamekosewa ? Au hujapendezwa alivyosifiwa au Ni uongo wanampamba TU wote hao, had kina KDB, SANE,n.k Wana appreciate uwezo wake .

Hajafikia peak ,but haizuii kusifiwa .
 
FACT kwa kweli hata vs Brentford aliubonda balaa hata kwa normal people ukikaa na watu wasiojua automatically na wewe utakuwa hvyo
Ukicheza na kina lokonga ,nketiah wanazingua Sana ,

Lokonga nimemvumilia na tulimtetea ,ila kwasasa atuache Kwanza, sawa na nketiah

Arteta ana demand Sana performance, soon hutawaona hata sub hao,

Vieira alikosa pre season, hii break ya world cup Ndio itakuwa pre season yake
 
Gnabry
Iwobi
Joe Wilock,,,

Gunners mlikosea Sana kuziacha hizi talents,,, huko walipo wanakiwasha Sana !!!
Hakuna kilichokosewa hapo

Iwobi ,willock walifikia kuwa average players , hata mashabik walipiga kelele Sana hatuwez ku move on na kina iwobi, willock,

Japo kwa Sasa namfatilia Sana iwobi ,anacheza CM pia na AM anauwasha Sana ,

Willock alienda mkopo akauwasha Newcastle akawanusuru kushuka daraja akifunga mfululizo mech karibu 7-8

Ikaja ofa ya £25m mchezaji ambaye arsenal hapati nafasi ,Ni average player

Gnabry huyu issue yake Wenger aliwahi kuiweka wazi,

Ulifanyika uhuni na bayern , Wenger hakutaka kumuuza,

Bayern waliwatumia nadhan bremen Kama sikosei afosi Kuondoka ,wamsajiri kwa dau dogo ,then bayern wakamchukue kwao ,maana Bayern angekuja kumtaka akiwa arsenal angepigwa Bei kubwa,

Kweli, Gnabry alifos Kuondoka akigoma kusain mkataba ,japo Nafas yake kipind hicho ilikuwa finyu

Soma hapa

YouTube
YouTube · beIN SPO...
Wenger claims Bayern manipulated Serge Gnabry's move to Werder ...

Ila kasema uhalisia ,hata juzi Rio Ferdinand alimuuliza Pep Kuhusu Arteta akamjibu .

Labda Kama hujapendezwa anavyosifiwa na hao, ila jamaa kaanza kusifiwa toka anacheza na kina pochetinho , wakimuona atakuja kuwa Kocha mzuri,

Labda unisaidie na Mimi wapi unaona pamekosewa ? Au hujapendezwa alivyosifiwa au Ni uongo wanampamba TU wote hao, had kina KDB, SANE,n.k Wana appreciate uwezo wake .

Hajafikia peak ,but haizuii kusifiwa .
Wazungu Wana tabia ya ku-appreciate kitu pasipo kuegemea upande wowote ! Pep, na kina sane kumsifia sio hoja Ni Jambo la kawaida !
Tumsubiri afikie kwenye peak (kushinda makombe makubwa ) ndo tuje kumjadili ,,, isije kuwa one season wonder (kitu ambacho sikitegemei )

Pia Pierre akiwa Barca Kuna comments aliongea kumhusu ,,,, let's wait.!! Inaonekana jamaa hawez ku-manage mastar wakubwa,,,, ozil lacca auba (refference )

The future is bright ! Nyota njema huonekana asbh !!!
 
Hakuna kilichokosewa hapo

Iwobi ,willock walifikia kuwa average players , hata mashabik walipiga kelele Sana hatuwez ku move on na kina iwobi, willock,

Japo kwa Sasa namfatilia Sana iwobi ,anacheza CM pia na AM anauwasha Sana ,

Willock alienda mkopo akauwasha Newcastle akawanusuru kushuka daraja akifunga mfululizo mech karibu 7-8

Ikaja ofa ya £25m mchezaji ambaye arsenal hapati nafasi ,Ni average player

Gnabry huyu issue yake Wenger aliwahi kuiweka wazi,

Ulifanyika uhuni na bayern , Wenger hakutaka kumuuza,

Bayern waliwatumia nadhan bremen Kama sikosei afosi Kuondoka ,wamsajiri kwa dau dogo ,then bayern wakamchukue kwao ,maana Bayern angekuja kumtaka akiwa arsenal angepigwa Bei kubwa,

Kweli, Gnabry alifos Kuondoka akigoma kusain mkataba ,japo Nafas yake kipind hicho ilikuwa finyu

Soma hapa

YouTube
YouTube · beIN SPO...
Wenger claims Bayern manipulated Serge Gnabry's move to Werder ...

Nimekupata,,, kwenye football huwa inatokeaga !
 
Tunapokutana na timu inayopaki basi, Martin Ødegaard ndiyo silaha yetu kubwa ku-unlock low block

Uwezo wake wakuuficha mpira kwenye tight spaces ni mkubwa mno

Thank you Real Madrid
Mechi dhidi ya man u naona hii mbinu iligoma mkuu
 
Wewe ni kocha mchezaji wa miaka 17 anakuambia anataka kuanza la sivyo anaondoka. Utafanya nini?

Hiyo ndiyo ilikua story ya Gnabry.

Iwobi aliwahi ingia kwenye mechi kalewa. Ana showboat kiasi anaweza ua move ya goli.

Willock was good ila alihitaji game time, shida inakuja kwamba muda yeye anahitaji game time mashabiki tunahitaji matokeo na hatupo michuano mingi.

Foden kwa City kapata game time coz timu ilikua na michuano mingi at the same time wako vizuri hata kwenye ligi.
 
Well said
 
Wazungu Wana tabia ya ku-appreciate kitu pasipo kuegemea upande wowote ! Pep, na kina sane kumsifia sio hoja Ni Jambo la kawaida !
Tumsubiri afikie kwenye peak (kushinda makombe makubwa ) ndo tuje kumjadili ,,, isije kuwa one season wonder (kitu ambacho sikitegemei )

Pia Pierre akiwa Barca Kuna comments aliongea kumhusu ,,,, let's wait.!! Inaonekana jamaa hawez ku-manage mastar wakubwa,,,, ozil lacca auba (refference )

The future is bright ! Nyota njema huonekana asbh !!!
Unaamini huu upuuz wa auba?
 
Mechi dhidi ya man u naona hii mbinu iligoma mkuu
mnakuja Emirates ,

Ile mech angekuwepo hata Elneny msingechomoka

Kama Kuna Siku niliwadharau Ni hiyo siku,

Kiungo lokonga 3rd choice ,Lakini mlishindwa kumiliki mpira, mpo home ,

Kaunta attack ikawaokoa,

Kwa timu kubwa iliyotumia £250m ilikuwa aibu kucheza Kama Burney,

Najua hamfurahii huo mpira ,Ndio maana mlipocheza vzr dhidi ya Spurs na Chelsea mlishangilia sana
 
Wazungu Wana tabia ya ku-appreciate kitu pasipo kuegemea upande wowote ! Pep, na kina sane kumsifia sio hoja Ni Jambo la kawaida !
Tumsubiri afikie kwenye peak (kushinda makombe makubwa ) ndo tuje kumjadili ,,, isije kuwa one season wonder (kitu ambacho sikitegemei )

Pia Pierre akiwa Barca Kuna comments aliongea kumhusu ,,,, let's wait.!! Inaonekana jamaa hawez ku-manage mastar wakubwa,,,, ozil lacca auba (refference )

The future is bright ! Nyota njema huonekana asbh !!!
Maisha hayapo hivo, at the moment huwez kuwazui watu kumpa Sifa, labda sisi waafrika wenye roho za korosho

Auba anadai aliropoka sababu ya hasira

Sio kweli Arteta hawez kumanage big players, Auba ana ukubwa gani kuwazid kina XHAKA, Partey, hata Jesus?

Hao kina Ozil ,Auba , ,Pepe hawakuendana na falsafa za mwalimu,

Ozil kaanza kukataliwa na unai Emery,

Wakati Arteta akiwa Kocha msaidizi mancity , walikuja Emirates wakatupiga 3-0,

KDB anasema kwenye analysis ya Mechi walikuwa wanaonyeshwa Auba ,Pepe ,ozil hawafanyi press ,Ni martinel pekee Ndiye alikuwa anafanya press ,

Sasa watu Kama Hawa Kama hawaendan na Kocha ,awahurumie?

Umemsikia juzi Aguero anadai alifikia hatua akapata msongo wa mawazo, alikuwa anapigwa bench kisa hapress na ANAPEWA nafasi Jesus , Je pep na yeye hajui kumanage big character?
 
Back
Top Bottom