Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Matokeo mabovu ya man city, yamewaponza sana Wolverhampton

Wolverhampton atapigea kama ngoma

Umuhimu wa kumpita man city tofaut ya points tano ata mtoto wa darasa la pili anaujua

Sasa basi

Arsenal 4 Wolverhampton 0

Arsenal NDOO
haaland kiatu
Pigeni hao Wolves muelekee mbio za ubingwa wa EPL maneno mengi tuachieni sisi Chelsea na kikundi chetu cha wahuni

Arse8 nawatakia kila la heri ili mbebe kombe la EPL ionekane ina ushindani, si kila siku Mwa-City abebe yeye EPL...
 
Pigeni hao Wolves muelekee mbio za ubingwa wa EPL maneno mengi tuachieni sisi Chelsea na kikundi chetu cha wahuni

Arse8 nawatakia kila la heri ili mbebe kombe la EPL ionekane ina ushindani, si kila siku Mwa-City abebe yeye EPL...
Safi mkuu, tupo pamoja
 
Jesus hana tofauti na simu iliyoharibika charge system, Pep alivyoona charge yake imefikia 11% akaamua kuiuza, sasa hivi simu ishakua empty haichajiki tena labda mchomoe betri mkalichaji kwenye kobe.
Uliandika kwamba tutafungwa,sasa hivi umebadilika unamponda Jesus!!!hivi unatumia akili za kichwa kuandika au unatumia makalio??yaani hueleweki unawashwawashwa tu
 
Saka ajiangalie, kama atakuja winger 1 vs 1 yupo njema benchi litamuhusu, kuna sehemu ni za kumchukua beki ila anashindwa.
 

Mbwa mwitu leo anaenda kujitafunia mbuzi za Arteta.
Na jinsi wachezaji wao walivyoshiba leo unaenda kupigwa mpira wa maguvu maguvu ili kuwatisha wavulana wa Arteta.
Kuna wachezaji leo wanaenda kupasuliwa kongosho.
Unajisikiaje ulivyoandika PUMBA hizi na kilichotokea Uwanjani??akili zako zipo nyuma wewe FLANO sio bure
 
Back
Top Bottom