Partey angekua hayupo na hamna kuhofiaSijui
Sijui tulifeli wapi.
Partey angekua hayupo na hamna kuhofiaSijui
Sijui tulifeli wapi.
nadhani huo UKUTA umeshikishwa weweAcha makelele Wolves wenyewe ni timu ndogo tena kwenye msimamo inashika nafasi ya 18 lakini leo usiku lazima wawashikishe ukuta mbuzi nyie.
Mimi nazungumzia uhalisia ,wewe unasema nampamba ,duh,Mkuu unavyompamba utadhani Mikel Ni Don Carlo, sir Alex, Special one ama Pep! Kwa kifupi ndio ameanza managerial career, apewe muda walau 10 years ndo utakuja kuandika haya ,,,,,
Wazungu wanapenda sana kuapprecitiana ndo hulka yao,,,, ! hAta akikufunga kwenye post match conference atawasifia adui zake na kusema pengine hawakuwa na bahati , au atasema timu nzuri imepoteza, na wapo wazi wazungu wanaweza kusema tumeshinda lakini hatukua na mchezo mzuri! Bongo je ? Kichekesho !
Tunza maneno ,,,, Mikel ashinde walau EPL 2, UEFA Moja ndo uje uongee haya !!
Kama umegundua saka anawaza world cup ,Saka ajiangalie, kama atakuja winger 1 vs 1 yupo njema benchi litamuhusu, kuna sehemu ni za kumchukua beki ila anashindwa.
Huyu jamaa ni mtu na nusuGuimaraes tulihusishwa naye.
Ilibidi tumchukue
Kipindi tunahusishwa nae nilimchungulia game kama 2 hivi nikajiridhisha anatufaa, mengine ndio mambo ya mpira tu.. Ila niliona anatufaa, ghafla nasikia the magpies wamembebaPartey angekua hayupo na hamna kuhofia
Hmm.. Labda hapa umeniongezea wazo, ila kuna game kadhaa nyuma alikuwa hivi au ndio World Cup ilimvuruga akili?Kama umegundua saka anawaza world cup ,
Toka alivyoumia sijamuona Saka yule tenaSaka ajiangalie, kama atakuja winger 1 vs 1 yupo njema benchi litamuhusu, kuna sehemu ni za kumchukua beki ila anashindwa.
Huenda ndio hicho alichokiongelea hamis kwamba anahofia world cup.. Ngoja arudi toka world cup tutajua mbivu na mbichi.Toka alivyoumia sijamuona Saka yule tena
We utakua ulikua unaangalia mechi ya last season ukajua n liveHali ya hewa ya Norway
Nyasi bandia
ARSENAL WALIKUWA WANACHEZA WANAOMBA MPIRA UISHE
Kabla ya game na Chelsea alikuwa Moto Sana, wakataka kumvunja , akaanza kuwa muoga ,Hmm.. Labda hapa umeniongezea wazo, ila kuna game kadhaa nyuma alikuwa hivi au ndio World Cup ilimvuruga akili?
Tulimtaka toka yupo Brazil ,kipind Cha Unai, tukajizungusha ,Unai na genge lake wakawa hawaeleweki wanataka Nini, akaenda France , tukamkosa, mwishoni ,magpies wakaweka Mzigo,Kipindi tunahusishwa nae nilimchungulia game kama 2 hivi nikajiridhisha anatufaa, mengine ndio mambo ya mpira tu.. Ila niliona anatufaa, ghafla nasikia the magpies wamembeba
Haimbwi ila jamaa anatoa A performance kila gameMr consistent.View attachment 2414985