Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ili kushinda unahitaji timu yenye utimamu pamoja na bahati.

Vyote vimekuwa upande wetu.

Points 3 muhimu pamoja na clean sheet nyingine.

Tafadhali Man City atupishe kileleni

Mwaka huu kuna Muujiza unakwenda kutimia, tuendelee kuwa wavumilivu.

We are Gunners
Kila la heri Arse8 maana EPL itakosa ushindani ikiwa Kipara atabeba kombe la EPL zaidi ya mara 3 mfululizo
 
Kwa direction hii tunaanza kuelekea kuwa EPL winners wa season hii kitu ambacho no Arsenal fan alitegemea ndani ya season hii tutakuwa hapa tulipo no one knows tomorrow dogo wa Fulham jana kazingua sana but this is football
Mkuu ukisema hivyo mimi unanikosea sana

Mara ngapi humu huwa nasema ARSENAL NDOO
 
Kila la heri Arse8 maana EPL itakosa ushindani ikiwa Kipara atabeba kombe la EPL zaidi ya mara 3 mfululizo
Ni kweli, ingawa nina wasiwasi na Fatigue iwapo hatutakuwa na wachezaji wa kuwafanyia rotation.

League bado ndefu kwahiyo dirisha la January tuongeze wachezaji wawili pale kati na winga ili kuweza kumeet malengo.

Man City mwenyewe ameshaingia woga Kwa Arsenal yetu, hope tutafika mbali
 
NI FEDHEHA KUBWA KWA AUBA
Screenshot_2022-11-06-17-26-25-264_com.freerange360.mpp.GOAL.jpg
 
Hii game tuliwashika ila kwenye kufunga bado hatujawa lethal hususan Jesus sijui kapatwa nanini, ile cross ya martinel ili bodi iwe kamba

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Jesus ni kama magoli yamemkataa hivi,atulie acheze mpira wake, atulie, no stress, no panicking magoli yatakuja yenyewe tu.
 
Back
Top Bottom