Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kupiga Chelsea leo analafu ukashangilia
Ni sawa na kupiga bom monchwari alafu tujisifu tumeua

Chelsea 0 vs Arsenal 2

Leo hawa wapuuzi hawatafunguka, tutegemee ushindi mwembamba kama huo

Ila wakijifanya viburi, kufunguka kama wana team nzuri
Au na wao kujifanya kutafuta magoli
Basi watakula mkono

Maamuzi yapo mikononi mwao
Mbili za mkwezi
Au mkono

Haaland kiatu
Arsenal ndoo
 
Atomic bombs zote zipo tayari
Wapo kwa kazi ya kuonesha umri sahihi wa wachezaji

Azipiculeta, Silva, koulibaly, Joginho
Doctor wa misuli leo wasikae mbali na hawa watu wao
IMG-20221105-WA0013.jpg
 
Shabiki za arsenyonyo Jana zilikuwa zinabana mapumbu eti city adroo kilichofuata hehehehe........
Leo ni kifinyo kitakatifu naweka kambi mapemaaaa!! Hehehehe
 
Arsenyeto arsenyonyo presha fc Leo mtapigwa mpka mtajuta kwann mliingiza timu uwanjani
NB:huko uropa mtakutana na barcenyeto mtatoboa kweli waja laana nyie
 
Back
Top Bottom