Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Arteta 2021:
Nataka kuifanya Emirates Sehemu ya kuogopwa
Nataka kuifanya Emirates Sehemu ya kuogopwa
MJINGA SANA WE JAMAA, UNATAJA VITOTO VYA FORM FOUR 'B' KULINGANISHA NA MIAMBA. MPIRA PESA MDOGO WANGU, SUBIRI KIDOGO NDIO UTAJUA MAANA YA KUSAJILI WACHEZAJI WAKUBWA NI NINI. UNANILETEA VITOTO HATA KUBEBA VIATU KWENYE TIMU ZAO ZA TAIFA HAWARUHUSIWI..Leta msimamo au hii Kaz uliacha ?
Akili zenu sijui zikoje
Nakutajia Sub za Arsenal inapokuwa full halafu fananisha na Timu yako
Mart Turner
Smith Rowe
Kieran Tierney
Zinny Zinchenko
Fabio vieira
Nelson
Nketiah
Elneny
HAWA WACHEZAJI KWENYE TIMU YAKO WANAANZA KIKOS CHA KWANZA


Kumbe najadili na mgonjwaMJINGA SANA WE JAMAA, UNATAJA VITOTO VYA FORM FOUR 'B' KULINGANISHA NA MIAMBA. MPIRA PESA MDOGO WANGU, SUBIRI KIDOGO NDIO UTAJUA MAANA YA KUSAJILI WACHEZAJI WAKUBWA NI NINI. UNANILETEA VITOTO HATA KUBEBA VIATU KWENYE TIMU ZAO ZA TAIFA HAWARUHUSIWI..![]()


Leta msimamo mbwa weweMJINGA SANA WE JAMAA, UNATAJA VITOTO VYA FORM FOUR 'B' KULINGANISHA NA MIAMBA. MPIRA PESA MDOGO WANGU, SUBIRI KIDOGO NDIO UTAJUA MAANA YA KUSAJILI WACHEZAJI WAKUBWA NI NINI. UNANILETEA VITOTO HATA KUBEBA VIATU KWENYE TIMU ZAO ZA TAIFA HAWARUHUSIWI..![]()
Real Madrid will make an offer for Gabriel Jesus next summer. 🤍



Real Madrid will make an offer for Gabriel Jesus next summer. 🤍
(Source: @SunSport)
Mimi namkubali sana ESR, kile ni kipaji Bora kabisa!.. Nina Imani kubwa sana na yule dogo... Yani napenda sana style yake ya uchezaji. Yule anauwezo mkubwa sana wa kufunga...Emily Smith Rowe
Nimemisi Kazi ya Smith Rowe , atachukua mpira atakukimbiza kuingia kwenye box ,
An example of a ball carrier
Kuna Saka , Martinell na Odegaard, Lakini Smith Rowe ndiye mchezaji namkubali Sana
Arteta kambadilisha Sana, Mchawi majeruhi tu
a no.10 ambaye atatokea pemben kuingia ndan ,INVERTED NO.10
View attachment 2404446
Mashabiki wa timu zote Epl wanamkubali na kumsifia kwelikweli Anthony kasoro mashabiki wa Arsenyani peke yao.Mkuu una hasira nae. Mechi yake ya kwanza EPL alikuchapa..![]()
kwa Anthony sababu kuu jamaa ndio alikua mwanaume wa kwanza kuwatoa usichana wao kwenye lile gheto lenye vitofali vya kuchoma.Nyie mashabik wa unyumbuni mnafurahisha sanaMashabiki wa timu zote Epl wanamkubali na kumsifia kwelikweli Anthony kasoro mashabiki wa Arsenyani peke yao.
Ukichunguza chuki ya mashabiki wa Arsekwa Anthony sababu kuu jamaa ndio alikua mwanaume wa kwanza kuwatoa usichana wao kwenye lile gheto lenye vitofali vya kuchoma.
Tena wasituzoeee kabisa..... wapuuzi wakubwaBarcelona waache bangiView attachment 2404795
Yamekuwa hayo ngoja tufike mwakani mwezi wa pili tujue ni akili zenu au ile kitu.Barcelona waache bangiView attachment 2404795
Umeamua Sasa uwe mpiga ramli au SioUTABILI
Arsenal ataongoza ligi mpaka December, kuanzia January itashuka mpaka nafasi ya pili.
Hapo nafasi ya pili atadumu sana, lakini game tatu na mwisho zitahakikisha Arsenal anashuka mpaka nafasi ya 4, hiyo ndio itakua nafasi yake mpaka ligi inaisha.
Mimi sio mganga wa kienyeji bali ni mtabili mzuri tu, na tabili zangu nyingi zimewahi fanikiwa.
Kazi onayo wewe kibwengo na mapengo yako hayo ukiamini Arsenal atachukua ubingwa, imekula kwako.
Mlianza toka preseason, hamkomi tu kila Siku mnapiga ramliYamekuwa hayo ngoja tufike mwakani mwezi wa pili tujue ni akili zenu au ile kitu.