Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hatukuwa na matumaini ya kuwa EPL winners but kwa Top 4 ilikuwa ni suala la lazima kwa sasa tumeachana na top 4 tunatafuta ubingwa na tupo very serious na hilo kwa sasa so let's hope kwa hili
Kweli, Hata Mimi sikutegemea kama timu itaimarika kiasi hiki!... Tukiongeza wachezaji wawili au watatu january, HAKIKA tunabeba ndoo
 
Hatukuwa na matumaini ya kuwa EPL winners but kwa Top 4 ilikuwa ni suala la lazima kwa sasa tumeachana na top 4 tunatafuta ubingwa na tupo very serious na hilo kwa sasa so let's hope kwa hili
Ndugu labda wewe hukuwa na matumaini, Kuna Hadi space tulifanya Twitter ,Mimi nilisema kabisa Msimu huu Tunagombea ubingwa ,na hata humu Kuna Makala zangu nilisema hivo,

Binafsi baada ya Zile Mechi 2 pale Emirates dhidi ya mancity na Liverpool zilikuwa onyo kuwa soon tunakuja kupambana nao

Kama ukifanya analysis ,nilikuwa nasema hata msimu uliopita Kuna factors zilitokea ambazo msimu huu zilirekebishwa

TWENDE kimahesabu

Tulimaliza na points 69

Lakini Kuna mechi 3 za mwanzo tulifungwa sababu ya kuchelewa kusajiri ,kumbuka Baada ya Hizi mech ndipo tulisajiri kina Ramsdale, Tomiyasu, Odegaard,n.k

Hizi mech 3 tulitakiwa tupate walau points 4

Kuna mechi 3 round ya 2 ,tulifungwa sababu ya Depth ndogo hasa naada ya kuumia Tierney,Partey na Tomiyasu

Hizi mech zilikuwa points 9

Sasa chukua points 9+4 =11

Chukua points 69+11=80 points

Kuna draw tulitoa 11

SASA MIMI NACHUKUA HIZI POINTS 80

Msimu huu kwa 80% hizo factors zimesoviwa

NDIPO NIKAHITIMISHA MSIMU HUU TUTAPAMBANIA UBINGWA
 
Kweli, Hata Mimi sikutegemea kama timu itaimarika kiasi hiki!... Tukiongeza wachezaji wawili au watatu january, HAKIKA tunabeba ndoo
Mmh Mbona ilikuwa wazi kabisa inaonesha hi timu inaelekea wapi

Hata Sasa Kuna madirisha Kama mawili hivi itajaa Quality kila eneo


Kama kila Mechi ukiwa mtu wakuangalia mabaya na kutukana wachezaji, huangalii progress Ni ngumu kujua timu ilikuwa wapi na ipo wapi
 
Mchambuzi @shaffihdauda Kwenye Hili Ligazeti Lake Kama Umefiwa Na Mtu Unaemdai

Tunamuongezea na Chelsea alimsahau..!
IMG_20221106_220809.jpg
 
KWA NILICHOKIONA LEO ,HAKIKA AUBA NI MFANYAKAZI HEWA ,

Kevin De Bruyne mnamo Desemba 2019 baada ya ushindi wao wa 3-0 huko Emirates alisema kwamba kulingana na uchambuzi uliofanywa na Man City Baada ya mechi , kwenye safu ya Arsenal (Martinelli/Pepe/Ozil/Aubameyang),

Martinelli pekee ndiye aliyekuwa ana press na kudefend , Arteta alikuwa sehemu ya wakufunzi wa City wakati huo…
 
Mmh Mbona ilikuwa wazi kabisa inaonesha hi timu inaelekea wapi

Hata Sasa Kuna madirisha Kama mawili hivi itajaa Quality kila eneo


Kama kila Mechi ukiwa mtu wakuangalia mabaya na kutukana wachezaji, huangalii progress Ni ngumu kujua timu ilikuwa wapi na ipo wapi
Katika watu wanaomeamini Arteta na wachezaji wetu Mimi ninamba Moja.. kiukweli timu imekuwa inaimprove Kila Msimu.. wakati Msimu uliopita unaisha nilijua Msimu huu Tutakuwa kwenye top three, sikuwazia kuwa tunaweza kumtisha Hadi Guadiola Msimu huu.. Lakini timu ilivyoimalika Msimu huu ni hatari sana, hii yote imechangiwa na ujio wa Jesus, zinchenko na kuimarika Kwa Xhaka, martinelli na Saka.. kiukweli Martinelli na Saka wameimprove vibaya mnooooooo!.. yaani wanatisha balaa.. Beki yetu ilikuwa nzuri Msimu uliopita lakini Salina kaibadilisha sana timu huko nyuma, jamaa ni mtulivu, Hana papara na anajua kuusoma mchezo.. Kikubwa ninachoona na ambacho nina uhakika nacho Msimu huu ni kuwatunachukua ndoo.. Nimeanza kumuwazia sana yule bwana aliyetabiri kuwa Arteta atabeba ndoo ya EPL mwaka wake wa tatu.. Hakika Arteta anabeba ndoo Msimu huu... Hongera sana bro!.. umekuwa unatutia matumaini sana kwa chambuzi zako murua kabisa.
 
ESPN BRAZIL

"I have information that the club wants to take advantage of the teams position at the moment and will inject money to reinforce the squad well in January to be able to compete until the end"

(@j_castelobranco)
 
April 2023 ndio itakuwa na mambo mengi maana tutacheza na:
Leeds
Liverpool
Westham
Southampton
Man City
Chelsea

Halafu May tunakutana na:
Newcastle
Brighton
Nottingham
Wolves

Inatakiwa december mpaka march tuwe na uongozi angalau wa point nane ili tuupiganie ubingwa.
 
Back
Top Bottom