Inategemea na Game refer Liverpool vs Manchester City tunaplay vs Chelsea sio game nyepesiMan city akikaa juu hamumtoi
Mbona bado wame deliver sumu sema Jesus ndo ametuangusha ili bidi tuwe tunaongoza 2:0 sasaHii game graham ameshaijua approach yetu ya kuwatumia saka na martineli kudeliver final deadly passes, naona wakikamata mipira wanakabwa kwelikweli. MA need to change approach or motivate his players to increase pace of the game.
Nadhani leo Arteta ameogopa kucheza kwa kasi sana kupunguza kupoteana dakika za kipindi cha pili tunapokuwa ugenini. Ila magoli yatapatikana kipindi cha pili.Tunacheza kama vile hatuhitaji kua nafasi ya kwanza. Hakuna intensity.
Tatizo la Arsenal ni wafungaji hawafungi na leo midfielders na wingers wemebanwa na wamejitahidi kwa kiasi kikubwa maana hao ndio wafungaji wetu but hakuna magoli let's wait for the second halfMbona bado wame deliver sumu sema Jesus ndo ametuangusha ili bidi tuwe tunaongoza 2:0 sasa
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app