Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 651
Harston katoa analysis nzuri... Mowbry naona alikuwa so excited hehehe..Poa.
Ngoja niangalie MOTD 2 nione Lee Dixon anasema nini kuhusu Arsenal.
Harston katoa analysis nzuri... Mowbry naona alikuwa so excited hehehe..Poa.
Ngoja niangalie MOTD 2 nione Lee Dixon anasema nini kuhusu Arsenal.
Wewe unaangalia MOTD2 Ipi? kwa sababu ninayemuona hapa presenter ni Colin Murray akiwa na Lee Dixon na John. Hao wengine umewatoa wapi?.Mkuu Tune BBC 2Harston katoa analysis nzuri... Mowbry naona alikuwa so excited hehehe..
Harston katoa analysis nzuri... Mowbry naona alikuwa so excited hehehe..
Wewe unaangalia MOTD2 Ipi? kwa sababu ninayemuona hapa presenter ni Colin Murray akiwa na Lee Dixon na John. Hao wengine umewatoa wapi?.Mkuu Tune BBC 2
Poa.
Ngoja niangalie MOTD 2 nione Lee Dixon anasema nini kuhusu Arsenal.
Harston katoa analysis nzuri... Mowbry naona alikuwa so excited hehehe..
Nimekuelewa kakaNamzungumzia Commentator(Mowbry) game. Mkuu it was a typo meant to write Hartson calm down.
Wewe unaangalia MOTD2 Ipi? kwa sababu ninayemuona hapa presenter ni Colin Murray akiwa na Lee Dixon na John. Hao wengine umewatoa wapi?.Mkuu Tune BBC 2
Hehehee wenger mbabe sana ndio maana alilimwa red card... Hivi Dalglish alimwambia F$&@ off baada ya final whistle?Hahahahaha....that last clip is full of Wenger!
Mpira wenyewe wa kusimuliwa na ulikuwa na mineno mingi kama kunguru khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Sasa mpira hukuuona na ulikuwa unapiga tarumbeta kwa sababu Baloteli aliwakonyeza, janja yenu inajulikana mpira unakwisha mkirudisha goli khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. hakuna hata siku moja refa EPL imeongeza muda baada ya Bodi kwenda juu kwa dakika nne hii ni ya kwanza na mara nyingine ni wakati Manure wanacheza hata dakika 20 zinaweza kufika i-hali wafunge khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kweli wacha1 unapenda ubishi kha!!
Hii drama ya leo nilitaka kuiangalia kwa mara ya pili, maana moments kama zile ndio zinatufanya tuipende EPL.
Hehehee wenger mbabe sana ndio maana alilimwa red card... Hivi Dalglish alimwambia F$&@ off baada ya final whistle?
Wewe kweli kiazi. Kwani MOTD ni kwa ambao hawajaona mechi live peke yao?! Mimi naangalia kuona analysis na comments za watu tofauti waliopata kucheza mpira.
Rudi nyuma kaanagalie post yangu ya kwanza kuhusiana na hii mechi nimeiweka saa ngapi, mechi nimeiangalia kuanzia dakika ya 55 mpaka mwisho. Na nilitaka kuangalia MOTD 2 kwa sababu nilimiss kipindi cha kwanza na vile vile kutaka kuona dakika za mwisho maana kwangu mimi zile dakika 5 za mwisho zilikuwa tamu kuliko hizo dakika 35 nilizoangalia.Mkuu wewe unaona ya kusimuliwa ndio na-question your intergrity ya kusema kwamba Loserfools hawakubebwa kwanza dakika zilizotangazwa zilikuwa zimekwisha hata nikakwambia walishehereka for 4 minutes, nyie tatizo lenu linaeleweka mkikonyezwa tu mnaacha magoli sasa subirini zamu yenu. Next time uwe unakuja hapa baada ya kuona mpira sio kupiga alinacha kama za Pwagu na pwaguzi. Hao Chelsick wako mahututi kwenye ICU chacha wanatafuta kikombe cha babu sisi angalau bado tupo kwenye championship sasa huu ukelele wenu unatia mashaka kama kweli ni unazi tu hata bila kuona game khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Usijali EPL huwa inajirudia usije kulia tu siko yako ikifika. Wengine hapa wana hasara ya 50 million shauri yako.
Wacha uongo wewe nenda kanunue Sky Sport na ESPN uwe unaweka vitu vya uhakika hapa kama huwezi kwenda uwanjani, zaidi ya kujishaua kama bibi kwa sababu unavyoandika vilikuwepo tangu mwanzo si ungeviweka khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee