Kama kawa mzee Furngie alikuwepo kuleta bahasha mwenyewe kiwanjani, huwezi kusema refa anasema extra time 8 minutes halafu unaongeza dakika 11 then hata mchezaji wa Loserfools atapata ule mpira its not a penalty in miles away na sio scoring chance. Kama kawaida bahasha zinafanya kazi lakini tutacheza hadi last game.
Tutachukua point moja kibindoni sio haba.

Nakubaliana na wewe mkuu kwamba timu zote bado zitapoteza points, lakini mentality kama hii ndio inawacost Arsenal, huwezi kukaa ukisubiri timu nyingine zikufanyie favour kwa kuifunga ManU wakati wewe mwenyewe haushindi mechi zako!

Tangu mwanzo sisi 'tulikanyaga mdudu mbaya' hivo si ajabu kuwa hapo. Sasa nyie mkuu mmeshindwa kutufunga leo na hii defence yetu ya kuungaunga!!! Kweli magobole yenu yamejaa maji!! Afadhali mtumie hata manati!!!
Hahaaaaa...........umerudi mzee wa Ass-Anal..............
So many excuses but kwa kuwa honesty Ass-anal wanapiga mpira tatizo kubwa hawajui nini la kufanya baada ya kumaliza kuchezea mpira, wanasahau kuwa ukimaliza kuchezea tumbukiza wavuni...............Sijui vinafikiri kabumbu ni toy
Ukitaka kupata mshtuko wa moyo kuwa mpenzi wa Arsenal!
Timu inakuwa na 4-0 half time wanatoka sare 4-4... na kama kulikuwa na dakika 5 za ziada ingepoteza mechi ile.
Leo, 1-0 ikiwa imebakia dakika moja.....the match was over, why Eboue even went after the ball? Let alone pushing the player who was moving away from the goal?
Kama ni bahati, uwezo, ari basi Man United ndio wana hivi vigezo vyote kwa sasa.
Ninapenda Arsenal wanavyotandaza kabumbu lakini hawako serious!

We mkali kweli, yani umejificha kitambo hivyo unatafakari kisingizio cha kuja nacho ndo umeamua kusukumia zigo kwa Ferg
...duh, hiyo 4 by 4 scores ya mwezi gani mkuu?
New castle vs Arsenal.......duh, hiyo 4 by 4 scores ya mwezi gani mkuu?
Hivi wewe unajua sheria za added minutes au basi tu unaongea kiushabiki?Mkuu huwa sijifichi mie wala kukimbia kijiwe, we played na refa katuua, huwezi kuwaambia wachezaji dakika 8 za nyongeza then unacheza more than 11 minutes ni swala lile lile hadi manure warudishe tumekwishawazoea nyie khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hivi wewe unajua sheria za added minutes au basi tu unaongea kiushabiki?
Hajakosea mkuu........Anaizungumzia game ya marudiano na Newcastle United ambayo tulikuwa tunaongoz kwa magoli manne kisha NC Utd wakarudisha magoli yote manne ikawa 4-4.........Kama sio uzembe ni nini hii...........Timu haina malengo wala ari ya uhsindi,wachezaji wameshakata tamaa,Inasikitisha sana yaani
. febragas hes a good player but he wont & will never make a good captain .. ...
Kama hawajui wangekuwa kwenye nafasi waliyopo? Je, wamepoteza mchezo nay, Wacha ngebe wewe. Ungesema hivyo kama tumefungwa ningekusikiliza there is still a lota to play for. Kama wewe hufahamu maana ya EPL kaa pembeni. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee