Ahaaa,husband wao au sio!...the foto will remind you "not to count your chicks before they hatch!"![]()
....e bana weee, umetukamia namna hii asb asb yote hii?
au kipigo cha jana hukulala wewe? hebu nenda kanisani bana, misa inakupita LOL!
RVP anapoteza chance ambazo zinaweza kuzaa goli..... Kifupi hakuna formation ya kupata goli.... Tunacheza tu mpira..... Draw nayo ni hasara kwetu........
...wetu hawa, muda tu haujaruhusu.
Anashangaza sana huyo jamaa(Mfarisayo)..........Sijui anafanya nini kwenye Arsenal Special thread ilhali hataki siye tuchangie kwenye jukwaa lao la Man Utd........
Ama kweli kufungwa kubaya sana........
Tunapenda sana kutaka kufunga magoli kwa style .kama tungekuwa tunajaribu mashuti tungekuwa mbali sana saa hizi.
Half time hamna kitu bado tunatatafuta goli letu la kutembea na mpira ndani ya nyavu
observing