Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii drama ya Emirates leo kiboko.... Ila I thought draw was a fair results for both teams.
 
Duuu bora wame droo washike nafasi ya pili,maana nimefurahi sana haha
 
WACHA1 upo??njoo na lete mapichazzzzz haha najuwa ulitegemea ushindi hapo....
 
Ushindi ni ushindi tu Muraa...............Hakuna cha drama wala nini

Now i prove that ubingwa tunautangazia Emirate, tunaomba sana ushirikiano wenu wa kutusaidia kuupamba uwanja kwa ajili ya sherehe za kukabidhiwa kombe japo tunajua tutawaachia majonzi mazito
 
Back
Top Bottom