OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,939
- 25,269
Wewe usifananishe Chelsea na matakataka wewe kuwa adabuYaani kuongoza ligi kwa points 3 dhidi ya Man U ni kama mko sawa ndio yale yale ya Chelsea msimu uliopita ni swala la muda tu mtatoka hapo juu na mtapoteza kujiamini maana wachezaji wenu wengi ni watoto.
.timu inafungwa hadi na ingizo jipya munakuja kuifananisha na mabingwa wa Dunia.?!
