toobiter
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,422
- 2,791
kweli mkuu?Kuna watu lazima wahame mjengo humu.
kweli mkuu?Kuna watu lazima wahame mjengo humu.
remind them mkuu,It's lonely at the top.
matokeo ndani ya miaka mitatu yakoje mkuuUwezi kuonyesha uwamba mbele ya Man utd.
Arsenal ni timu ndogo sana.
ni maoni yako mkuu na lazima yaheshimiwa.chochote ,mahali popote na muda wowote na kwa timu yoyote kinaweza tokea mkuuKwa hii team yenu hamtaweza kutoboa mbele ya Tottenham, Man City home and away games.
vip wewe ushamalizana nae?Tuwe tu wakweli Arsenal hana kikosi cha kusumbua top 5 teams sijui kama Conte mtamfunga na Chelsea wameleta Auba sasa
auba ni just another playervip wewe ushamalizana nae?
Arse8, Arsepunga, Arsekenge, Arsedomo....kwani tofauti ya bingwa na mshindi wa pili ilikuwa ngapi kwa msimu uliopita.

asante kwa kuja kutembelea jukwaa la wanaume wanaoongoza ligiArse8, Arsepunga, Arsekenge, Arsedomo....![]()
Arsenal akitoa sare mechi hizo yatosha lakini si kupoteza.Tuwe tu wakweli Arsenal hana kikosi cha kusumbua top 5 teams sijui kama Conte mtamfunga na Chelsea wameleta Auba sasa
The guy is comingAaron Arsenal uje utupe moyo nikikwambia punguza mahaba kuliko facts unanichamba come on bro njoo tufariji kwa maneno matamu
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
tatizo watu wanakariri kuna siku ligi hii itawashangaza watu.Arsenal akitoa sare mechi hizo yatosha lakini si kupoteza.
Hizi mechi zaendana na mbinu ukiwa wajipanga kimbinu hakuna maechi ngumu.
Ndo maana nasema msimu huu ni tofauti na hakuna alietarajia Liverpool na Manchester City kupoteza points mapema.
Vilevile hakuna alietarajia timu kama Brighton leo kushika nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi baada ya mechi 6.
Na hakuna aletarajia timu kama Leicester kushika mkia leo baada ya mechi 6.
Tena ukute uyo demu ni dada akokuna mabaharia hawana huruma ebu fikiri demu anakuja geto kwako alafu ni bikira lakini mabaharia bila huruma bikira wakaitoa kwa bao tatu tena bila vilainishi
Wewe ndo mshabiki wa arsenal pekee ambaye sio mnafiki. Nyeusi ni nyeusi toka nwanzo wa ligi mpaka mwisho japo washabiki wenzio HAWAKUELEWI.Top 6 imagine tunalose vs Rashford itakuwaje Vs Halaand Vs Salah Vs Kane Vs Auba? We need to win vs Top 6 teams but limeshindikana hili suala may be katika 10 games Vs Liverpool Manchester City Manchester United Chelsea Spurs may be may be we are going to win 2 out of 10 games
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app