Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 8,071
- 20,331
Nilishasema mkaona naongelea ushabiki arsenal hana kikosi cha kumfunga man U mlivyoona tumepigwa na Brighton,na Brentford mkaona sisi wabovu sawa sawa.
Nimeangalia msimamo wa ligi arsenal na Man U ni tofauti ya points 3 tu.yaani ushindi mechi moja tu.
Kelele za ubingwa zitapungua kwa sasa.
Arsenal timu nyinyi wanazocheza nazo zinakaaga tu nyuma,ndio maana wakaanza kelele.
Wakipoteza mechi nyingine ndio watapoteana mazima.