Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu wangu Richard Odegaard nimemuangaliaga sana sana ila sijawahi kumkubali sana any way nampa benefit of doubt
Odegaard akiwa fit ni mchezaji mzuri na ndie aliisaida sana Arsenal mechi tano za kwanza.

yeye ni Creator na hufungua vyumba sana.

Ila leo kachezeshwa tu bado hayupo fit.
 
Ode hakuna na kitu kipya tena leo naweza kusema ndo katukosesha ushindi, kuna eneo la kushoot ndan ya 18 anatoa pasi za ovyo ovyo, kwa jinsi alivyoingia Viera na kucheza vile Ode ajiangalie sana
ndo maana ya kuwa na option mkuu.tuko kwenye mashindano manne mkuu,kuna kitu kinaitwa utilization of resources.vieira na ode wote wana nafasi kulingana mashindano na kikosi tulichonacho
 
kwani tofauti ya bingwa na mshindi wa pili ilikuwa ngapi kwa msimu uliopita.

Mkuu ingekuwa tupo raundi ya pili sawa ila sasa hivi hapana kabisa,muda wowote table inapinduka huwezi kuongoza ligi sasa mpaka ligi inaisha.

Bingwa alikuwA na tofauti ya point 1 Mkuu.lakini ni baada ya mechi 38 sio mechi 6.
 
Hawatafika kokote hao yaani kelele kibao saizi wamewazidi Man U points 3, hapo kama wako sawa na Man U tu,muda wowote kibao kina badilika.

Hao wengine Vipi walioposhana point moja?
Pambana huko nyuma unateseka, Bournemouth are 2 points behind.
 
Hizi kenge zilikuwa n mdomo sana
IMG_20220904_204405.jpg


Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Taratibu mnarudi kwenye default settings yenu
Mkuu, Arsenal ni leo tu kapoteza mechi moja tena ugenini.

Safari hii Arsenal wana nafasi ya pekee yaani unafungwa na bado upo juu ya ligi.

Kinotakiwa ni kushinda mechi na Everton jumapili ijayo.
 
Tunaongeaga sana tuzibwe mdomo sasa team bado hii sana haya leo vs Top 6 team for the first time EPL tumepigwa goal 3 hatuna team ya competition kabisa beki uchochoro bado Halaand nae copy kwa Aaron Arsenal mkorea @hamisi77 game kama hizi unatakiwa uonyeshe umwamba wako

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Uwezi kuonyesha uwamba mbele ya Man utd.
Arsenal ni timu ndogo sana.
 
Odegaard akiwa fit ni mchezaji mzuri na ndie aliisaida sana Arsenal mechi tano za kwanza.

yeye ni Creator na hufungua vyumba sana.

Ila leo kachezeshwa tu bado hayupo fit.
asipokuelewa hapa basi nyoosha mikono.ubora wa iniesta ulitokana na ubora wa ( busikweti ) na xavi.mpira ni mfumo kukitokea kosa kwwnye mfumo individuality inaweza isionekana hasa kwa timu kama arsenal,city na barca
 
Back
Top Bottom