mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,699
- 9,064
Ndo ushabikiriwaI was expecting defeat in the run but not from Manchester United
Ndo ushabikiriwaI was expecting defeat in the run but not from Manchester United
guys Tunazika au tunasafirisha kima nyie
Naam.... Nadhani majibu umepata.Kesho mda kama huu nitaakua na cha kukujibu
sitaki kuwa personal,hivi unafahamu tofauti ya shabiki na mpenz wa mpira kweli?Hatuna team ya kuplay vs Top 6 teams Arsenal ni ile ile no changes at all tushukuru tuliwin hizo game 5 za mwanzo goodnightguys
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Arteta amefanya gamble kuwatoa Odegaard, Lokonga na Zinchenko kukiwa kumebakia dakika 20.I was expecting defeat in the run but not from Manchester United
yeah kufungwa nayo ni matokeoArteta amefanya gamble kuwatoa Odegaard, Lokonga na Zinchenko kukiwa kumebakia dakika 20.
Hilo ndilo kosa pekee la Arsenal leo, otherwise tumecheza mpira mzuri bila kufikiria mbinu ya Machester United ambayo nilisema watacheza counter attack.
Hata hivyo bado twaongoza ligi na next march Europa league.
Hongera zao Manchester United kwa counter attacking football.