Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Auba na cr7 kwa kipindi hiki wametofautiana rangi tu

Ila hao wote ni virus.

Nikukumbushe tu
Auba ni secret agent wa arsenal katika kuibomoa chelshit
Utakuaje secret agent kwenye team ya makombe? huyu kaja kwaajili ya kushinda mataji
 
Nashindwa elewa Aaron Arsenal anawaza nini anavyosema ni sahihi hatujasajili.

Partey anaumia tunapoteza games.

Tushajua tunahitaji kiungo.

Dirisha limefika. Hatujasajili.

Na Aaron anaona ni sahihi simply kwakua wao wanajua wanachofanya?


Kocha ilibidi ajue target ni nani na akifeli option B ni nani. Hii ndiyo logic. Tumeingia kwenye dirisha hatujaaddress sehemu ya msingi lakini Aaron anaona sahihi?
Mbona mapema yote hii mshaanza kulalamika
 
Ndio nimewaambia hapa ,wanasema nafurahia kutosajiri mbadala wa Partey


Arsenal haisajiri kwa pupa


Wachezaji waliopo 70% Ni versatility


Tunaweza kucheza hata 4-4-2 man u akafa vzr kabisa


Winga saka marinell

Viungo xhaka ZINNY

Forward Jesus nketiah


Beki sitakiwi kutaja inajulikana


Huko mbele movement za Martinell saka nketiah alivyo improve ,na Jesus


Man u anaponaje ?

Jumapili tunakuja na 4-3-3 hybrid ya 4-2-3-1

Mid xhaka Sambi au XHAKA ZINNY

Kwingine kunajulikana,timu yetu ina structure ,hatuchez oya oya
Mkuu inabidi upewe doctor ya heshima
 
Danilo ndo priority kwa sasa mazungumzo yanaendelea, na huenda akasajiliwa January.

Wakirudi kwa Luiz Aston Villa January hawawezi kukataa lakini Arsernal itawabidi walipe zaidi kwa sababu pana clause Man City waliweka, ya kupata 15 milioni kwenye mauzo yoyote ya Luiz.

David Luiz alifundishwa na Aterta alipokuwa msaidizi wa Guadiola.

Hiyo ndo sababu kubwa ya Arsenal kushindwa kumsajili jana.

Walipojulishwa hiyo 15M clause ndo wakaamua kuachana na proceedings.

Otherwise, twaanza rasmi msimu kesho kwa mechi zote muhimu pamoja na ligi ya Europa, na tuna 15 points kibindoni.
Basi huyu tutamchukua bure, mwishoni mwa msimu mkataba wake ukiisha

Inamaana jana tungepigwe double impact kama movie ya van dame
Ni kichaa angekubali hilo dili
 
Arsenal next 5 Crucial Premier League games:

4 Sept vs Manchester United (a) PL

8 Sept Vs Zurich (a) Europa

11 Sept vs Everton (h) PL

15 Sept Vs PSV (h) Europa

18 Sept Vs Brentford (a) PL

1 Oct vs Tottenham (h) PL

6 Oct Vs Bodo/Glimt Europa (h)

9 Oct Vs Liverpool (h) PL

COYGs!!
Hadi tareh 1 October. Game na spurs

Partey atakua kwenye fitness nzuri, zinchenko
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Hadi tareh 1 October. Game na spurs

Partey atakua kwenye fitness nzuri, zinchenko
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hadi game na Tot Partey anaweza akawa ashapona na kaumia tena kwa mara ya pili

Trip Shamba Trip Garage, kwa sasa Partey kwenye hesabu sio wa kumjumlisha
 
From next summer, if you’re coming for any Arsenal player, be ready to pay good money. We’ve cleared the “deadwoods”. If you want Saliba, £150M. If you want Gabriel, £100M. If you want Saka, £200M. If you want Ødegaard, £170M. If you want Ramsdale, £100M. We ain’t joking anymore.
 
Manjestaa nipigieni hizi takataka ..vidomo domo fc .. arse8 Hawa wanaongea Sana ..kuongoza ligi kwa siku chache tu hizi washajiona wao mabingwa hahaha amaa kweli masikini akipata matako hilia mbwata.
 
Manjestaa nipigieni hizi takataka ..vidomo domo fc .. arse8 Hawa wanaongea Sana ..kuongoza ligi kwa siku chache tu hizi washajiona wao mabingwa hahaha amaa kweli masikini akipata matako hilia mbwata.
Olashoga utapigwa wewe na mabwana zako nyumbu wanaokutuma

Timu lako limejaza wazee subiri leo linapigwa na westham

Halafu Tuone utapata wap nguvu yakuja humu
 
From next summer, if you’re coming for any Arsenal player, be ready to pay good money. We’ve cleared the “deadwoods”. If you want Saliba, £150M. If you want Gabriel, £100M. If you want Saka, £200M. If you want Ødegaard, £170M. If you want Ramsdale, £100M. We ain’t joking anymore.
Nani aje kununua matakataka
 
Nyie matakataka Leo mnakaribishwa kushuhudia namna bingwa anavyotakiwa kuwa mnamo majira ya 19:30....na nasikitika kuwaambia kuwa Leo ndio Siku yenu ya mwisho kuongoza ligi maana baba mwenye nyumba anarejea kwaiyo wapangaji mkae kwa kutulia
 
Arteta (recent record at old Trafford)

“I wouldn’t like any of our players feeling that way because they’re good enough to go there and win the match and I think we have the belief that can happen. If not, it’s better to stay at home.”
 
Nyie matakataka Leo mnakaribishwa kushuhudia namna bingwa anavyotakiwa kuwa mnamo majira ya 19:30....na nasikitika kuwaambia kuwa Leo ndio Siku yenu ya mwisho kuongoza ligi maana baba mwenye nyumba anarejea kwaiyo wapangaji mkae kwa kutulia
Baba mzima una nywele had makalioni ,unashabikia mancity ,Kuna namna watu waku ignore ,Kuna fyuzi hazipo sawa
 
Mbadala wa Partey Ni Elneny Ndio maana aliongezewa mkataba ,Ni nyie Ndio mlitaka asajiriwe mbadala Mwingine ,kitu ambacho Arteta hakuwa na mawazo hayo

Unfortunately Kuumia kwa Elneny Ndio kumesababisha hata kwenda kwa Luiz na Danilo


Binafs na iman na Lokonga na Ndio itakuwa turning point ya kumsahau Partey

Hata kina saka ,Smith Rowe,martinel,nketiah walipata nafas baada ya pepe ,willian,auba,laca kuharibu na tukaamin bila wao Hawa madogo hawatatusaidia kitu

The rest is History

Lokonga uzuri coaching staff wanamuamin Sana na atafanya vzr TU

Mechi na astonvilla kafanya vzr

Kwasasa Arsenal ina structure Ndio maana hata Elneny alicheza juz na Fulham tukatawala mpira kwa 70+%

Juz na Villa bado lokonga kafanya vzr

Why? Kuna structure IPO na wachezaj wanajua kuitafsiri,

Mwisho Partey nje wiki 2 ,
Sio heshima kumfananisha Lokonga na Partey kwenye uwezo.Basi tu majeruhi ila Lokobga sio mbadala wa partey.

Timu ikiwa kwenye form ni kawaida kumuona kila mchezaji ni mzuri,hii mbaya sana.Na hii isimdanganye Arteta akarelax
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom