Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,392
Hiv Hamna group la whatsapp la arsenal fans
Silijui
Hiv Hamna group la whatsapp la arsenal fans
Auba na cr7 kwa kipindi hiki wametofautiana rangi tuView attachment 2343201 Ndugu zangu wa Arsenal amuogopi? Nyinyi si mlisema Auba hawezi kuja Chelseafc? Auba aliwadanganya hawezi kucheza rivalry team lakini uhalisia anapenda kuja kwenye team ya makombe
computerarsenal
Will Jr
mkorea
Aaron Arsenal
hamis77
Cheki hii takataka kitu inaandika. Hahaha huyiogopi Chelsea wewe?Auba na cr7 kwa kipindi hiki wametofautiana rangi tu
Ila hao wote ni virus.
Nikukumbushe tu
Auba ni secret agent wa arsenal katika kuibomoa chelshit
Tuogope nini sasa sterling yuko hapo mnakojozwa tu sembuse AubaView attachment 2343201 Ndugu zangu wa Arsenal amuogopi? Nyinyi si mlisema Auba hawezi kuja Chelseafc? Auba aliwadanganya hawezi kucheza rivalry team lakini uhalisia anapenda kuja kwenye team ya makombe
computerarsenal
Will Jr
mkorea
Aaron Arsenal
hamis77
Usajili ndio unaocheza??Oyaaa mtuachie iyo nafasi yetu maana tutakuja kwa Kasi yaa mwanga achana na sisi ..nyie tafuteni pa kujificha maana huu usajili Ni tishio ..tutaleta misiba kila mahala..hahahaha
View attachment 2343201 Ndugu zangu wa Arsenal amuogopi? Nyinyi si mlisema Auba hawezi kuja Chelseafc? Auba aliwadanganya hawezi kucheza rivalry team lakini uhalisia anapenda kuja kwenye team ya makombe
computerarsenal
Will Jr
mkorea
Aaron Arsenal
hamis77
Club Expenditure Income Net spend
Chelsea £253.79m £49.32m -£204.47m
Man Unit £214.22m £10.35m -£203.87m
West Ham £163.80m £16.02m -£147.78m
Notts F. £145.76m £6.30m -£139.46m
Newcastle £122.40m — -£122.40m
Tottenham £152.91m £34.88m -£118.04m
Arsenal £118.86m £21.42m -£97.44m
Wolves £122.94m £51.39m -£71.55m
Southam. £59.76m. — -£59.76m
Brentford £45.45m £3.24m -£42.21m
Fulham £55.26m £18.81m -£36.45m
Everton £78.48m £52.20m -£26.28m
Crystal Pa. £31.14m £4.91m -£26.23m
Aston Villa £63.0m £37.80m -£25.20m
Bournemouth £24.21m — -£24.21m
Liverpool £81.27m £72.63m -£8.64m
Leeds United £99.13m £97.38m -£1.75m
Man City £125.55m £143.91m +£18.36m
Leicester £15.30m £73.26m +£57.96m
Brighton £43.02m £102.51m +£59.49m
Soma hiyo breakdown ujue kila timu imetumia na kupata kiasi gani katika dirisha ili 2022 and where is a brainier
Cheki hili mavi kunuka unaropoka ropoka tu jamaa hauna akili ..subiri tuwazibue mitaro kwanza mupate akili..Sisi ndio ChelseaPongezi ziwaendee Brighton. Wana positive net income kubwa na wanafanya vizuri kwenye ligi siyo hayo mavi ya darajani
Ollashoga upo?Cheki hili mavi kunuka unaropoka ropoka tu jamaa hauna akili ..subiri tuwazibue mitaro kwanza mupate akili..Sisi ndio Chelsea
Nashindwa elewa Aaron Arsenal anawaza nini anavyosema ni sahihi hatujasajili.
Partey anaumia tunapoteza games.
Tushajua tunahitaji kiungo.
Dirisha limefika. Hatujasajili.
Na Aaron anaona ni sahihi simply kwakua wao wanajua wanachofanya?
Kocha ilibidi ajue target ni nani na akifeli option B ni nani. Hii ndiyo logic. Tumeingia kwenye dirisha hatujaaddress sehemu ya msingi lakini Aaron anaona sahihi?
Cheki hili mavi kunuka unaropoka ropoka tu jamaa hauna akili ..subiri tuwazibue mitaro kwanza mupate akili..Sisi ndio Chelsea
Utajua ujui... J pil sio mbali!TANGAZO
Tarehe 04/09/2022 ndiyo mwisho kwa klabu ya Arsenal kuongoza msimamo wa ligi kuu Uingereza, hivyo mnakumbushwa wote kupiga selfie, kuscreen shot msimamo wa ligi kama kumbukumbu ya kudumu kua mliongoza ligi kwa mechi za 5 (tano) za kwanza za msimu 2022/2023.
Sasa jipangeni kupigani nafasi ya kubakia top 4.
Upatapo tangazo hili, mtaarifu na shabiki mwenzako wa Arsenal.
Imetolewa na Mbabani 02/09/2022 saa 18:19.
Asante.