Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,125
- 7,521
Target yako ni ip sasa Uefa spot / tittle?Naona hamjifunzi tu, January hakuna usajili wa striker ona ikatucost top 4.
Msimu huu hakuna DM wa kueleweka maana partey ni injury prone na pia ana kesi so anaweza asimalize msimu hapo hapo Eleneny sio reliable back up kama unataka kuchallenge for titles!!
Mtakuja hapa kulialia baada ya msimu kuisha tukiwa nafasi ya 8 huku DM ikitucost.
We need a CDM Hilo lilifahamika ni ujeuri tu wa Arteta kudhani timu ni perfect kisa ipo top. Jamaa akifeli this time atimuliwe tu maana naona hajifunzi tu kwa makosa yake.
Ni upumbafu kuamini Arsenal ilikosa top four kwa kumkosa Thomas partey pekee.
Arsenal tulikosa top four cuz tulistruggle kwenye maeneo mengi ya build up baada ya majeruhi, sio #6 tu.
Ben white/ Tomiyasu/ Tierney/ TP wote walipata injury kwa wakati tofauti na waliturudisha nyuma kwa namna moja au nyingine.
Hao wachezaji nafasi zao ilibidi zijazwe na Cedric/ Holding/ Tavares/ angalia utofauti wa quality btn them.
Uwepo wa TP usingemzuia Rob holding kufanya aliyofanya dhidi ya Spurs.
Kwa sasa tumeimprove maeneo mengi Saliba/ Zinchenko/ Jesus/ Fabio. Hatuwezi kumaliza 8th km unavyodhani.