Hata kina saka,Smith Rowe, Martinell, nketiah , Odegaard ,mnawafurahia Sasa ila awali hamkuwataka
Wakati Pepe a €80m winger yupo RW ,Kuna watu hawakutaka kukubaliana na Arteta Kama Saka kutoka LB angekuja kumuweka bench had Pepe kukimbia Ligi
Wakati Smith Rowe anapewa Nafas most mlilalamika mkitaka asajiriwe Hossam Aour ,
Hata Odegaard baada ya loan hamkutaka arejee Tena arsenal mkataka asajiriwe buendia au maddson injury prone kwa £60-80m
Kuna mdau humu Kama sio
mkorea basi nimemsahau alisema kama akiumia Partey tunalalamika haina haja ya kupigia watu kelele
Kuumia kwa Partey huenda ikawa turning point ya Lokonga kupita walipopita kina saka, Martinell,ode,Rowe,
Albert sambi lokonga uzuri anaaminiwa na bench la ufund kuliko mashabiki, ambao mlitaka Nuno Tavares atolewe hata Bure , but klabu ikasema itamtoa mkopo dry Kama kumuuza Ni kuanzia £40m ,now anakiwasha ligue 1
Wakati msimu uliopita ameumia xhaka, baada ya mech na Spurs , baada ya pale Dimba walikamata Partey na lokonga na tukashinda mech kibao,
Kwa MUJIBU wa premier league lokonga amesababisha kosa moja tu na ilikuwa dhid ya palace wote na Partey walikosea siku hiyo.
NASIMAMA NA ALBERT NA KESHO ATAIFURUMUSHA MANYUA
View attachment 2344204