duh... thanks mkuu, basi mie nikajua wameshinda2-2, hahahahaha hawaripoti magoli ya timu pinzani kwenye hili jamvi la Fat Arses.
dah... avatar yako na hii post vinafanana kabisaHivi sikumbuki mara ya mwisho tumeshinda ugenini ilikuwa lini jamani
game over, sijui Wenger atafanyaje ku-fix hii defence. na ndoto zangu za kombe zimeishia hapa.
Ni mapema mno kukata tamaa mkuu. Bado tuna mchapo na MANU na tukiweza kuwapiga bao basi itakuwa bado tumo sana tu kwenye kinyan'ganyiro cha EPL.
You need to worry about Chelsea maana leo mmewapa life line, kabla hamjacheza na sisi mna mechi za design ya leo hapo katikati sasa kama hamtoshinda hizo mechi ata mkitufunga haitosaidia kitu.Ni mapema mno kukata tamaa mkuu. Bado tuna mchapo na MANU na tukiweza kuwapiga bao basi itakuwa bado tumo sana tu kwenye kinyan'ganyiro cha EPL.
duh... thanks mkuu, basi mie nikajua wameshinda
lakini mie sielewi
Ass-n-whinger
Ass-shaving
Van-pussy
Maruhan-chamak
Johan-Njuruu
Niklas-Bender
ni coincidence au planned?
game over, sijui Wenger atafanyaje ku-fix hii defence. na ndoto zangu za kombe zimeishia hapa.
Hivi sikumbuki mara ya mwisho tumeshinda ugenini ilikuwa lini jamani
hahahahaha, umesahau:
Theo Walnut
Cesc Fibreglass
Maruhan Samaki
Lukasz Flappyhands
Wojciech Shenzi
You need to worry about Chelsea maana leo mmewapa life line, kabla hamjacheza na sisi mna mechi za design ya leo hapo katikati sasa kama hamtoshinda hizo mechi ata mkitufunga haitosaidia kitu.
duh... thanks mkuu, basi mie nikajua wameshinda
lakini mie sielewi
Ass-n-whinger
Ass-shaving
Van-pussy
Maruhan-chamak
Johan-Njuruu
Niklas-Bender
ni coincidence au planned?
congrats mkuu... mwaka huu hamjapoteza hata mechi moja in EPLAston Villa 27th November ... .... .... ... ... ... lakini mwaka huu bado hatujapoteza mechi ya EPL ... .... ...
Usikate tamaa mkuu, subiri vipimo.
Almunia kauza wenzake akae bench tu sasa.
niko huku nto wa nbu hakuna baa aisee... ndo naelekea karatu kupunzikaUko baa gani mkuu?