Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tierney , xhaka na partey nawaona ndio makapteni. Kina gabriel wana utoto mwingi
 
Muhimiliwa wa kiungo chetu kwa sasa ni partey
Kuhusu majerui ndio ilitufanya tuikose top 4, hasa kuumia kwa partey
Tomiyasu na Tierney kidogo kulikua kuna unafuu

Kuumia kwa partey kumlifa arteta aanze na sambi lokongo, akaja kugundua he is too young at the moment, hapo game 3 tushapoteza
Elneny kidogo ikawa nafuu, lakin mtu wa mpira unajua jinsi gani elneny bado hatoshi

As things stand pale kati ni Xhaka na Partey. Hii combo ata city walipoteana. Kadi nyekundu ya partey katika hiyo game na penalty waliyopewa city ndio ikawa mwisho wetu

Swali langu ni kwamba Partey akiumia au xhaka akila umeme, who gonna replace the position?
Am talking about defensive midfielder

Like ngolo but he is too old!

Kuna hawa watu; tielemans, Savic, Onana

I don't know where arteta will throw his card
But we must get tough as midfielder as casimiro to do all dirty so as to see how odegard is beast
How smith Rowe is pass killer
How good Vieira
How star boy saka will do his things
The Jesus upcoming phenomenon

Tofaut na hapo, itatulazimu as team wote tuwe defensive
Kitu ambacho kinapunguza ubora wa players wetu wengi

Kama kuna pesa imebaki ya kununua wachezaji wawili, bora hiyo pesa yote tuwekeze kupata kiungo mkabaji as tough as Patrick viera

Am done
 
mpaka 2027
Screenshot_20220713-172840.jpg
 
Ngolo Kante ni mzuri physically, but not technically so hawezi kucheza role ya Partey (single pivot), kuna vitu lazima tuelewe mchezaji kuonekana mzuri haina maana anafit kila position.
IMG_20220611_231904.jpg
 
Midfielders weusi ni wachache sana wenye uwezo wa kucheza central area na wakaleta impact, Partey ana kila kitu ila anakosa Consistency. Wengine wanakosa IQ ndio maana kocha kama Sarri anasema "they are not technically good enough." Ukiangalia Mid wa kiespaneola utaona football IQ, mfano Dan Parejo, Xavi, Xabi alonso, Pep Guardiola, Rodrigo Hernandez etc.
 
Mbona alivyokuwa ATM alionesha consistency?
 
Back
Top Bottom