Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal ‘imezidisha’ nia yao ya kutaka kumnunua beki wa kushoto wa Benfica Alex Grimaldo na wanapanga kutoa ofa ya Euro milioni 7 wiki hii, mkataba ambao ‘unaifurahisha’ Benfica. [@JornalNoticias] #afc

If the price tag determines the quality of the player, then we are targeting mediocre player, same as Nuno.
 
Arsenal kukamilisha usajiri wa Zincheko by next week

Bonge la usajiri ,

🚨 Arsenal are working on a deal to sign Oleksandr Zinchenko from Manchester City. Reports, @David_Ornstein. https://t.co/UGrcA1cooV
 
Attachments

  • Screenshot_20220714-143359.png
    Screenshot_20220714-143359.png
    102.5 KB · Views: 18
BREAKING: Arsenal are working on deal to sign Oleksandr Zinchenko from Man City. Both clubs are in talk and the Ukrainian is now Mikel Arteta’s priority after missing out on Lisandro Martinez. #afc https://t.co/ZbLHLiSXUy

IMG-20220714-WA0007.jpg
 
Zinchenko just makes so much sense. Offers great competition for Tierney. Plays in midfield for his country. Prem proven. Knows Arteta. Technically excellent. Still only 25. Winning mentality. Ticks almost every box we could ask for.
 
BREAKING: Arsenal are working on deal to sign Oleksandr Zinchenko from Man City. Both clubs are in talk and the Ukrainian is now Mikel Arteta’s priority after missing out on Lisandro Martinez. #afc https://t.co/ZbLHLiSXUy

View attachment 2290312
Arsenal hapa wamecheza Kama p

Profile ile ile wanayoitaka wanaenda kuipata kwa Bei nzuri

Jamaa anakichafua LB Kama Tierney, Kiungo yupo poa

Timu ya Taifa anachezaga kiungo
 
Sandor Varga (football agent) in 2016: “When Zinchenko was 17, Arsène called me & asked me about him. Wenger saw 20 minutes of him & said, ‘I need this guy’. He wanted him for the first-team straight away, not the reserves, but certain circumstances interfered.” #afc https://t.co/KsVRNPTX7l
 
Attachments

  • IMG_20220714_144919.jpg
    IMG_20220714_144919.jpg
    108.9 KB · Views: 15
Castr mkorea henry

Arsenal imegoma kutoa €55m kwa Lisandro Martinez,

Now inaenda kumpata Zincheko , LB, LCM,AM kwa €30m

Mna maoni gani

Na mnaionaje city ,mbona inauza sana
Zinchenko ni proven EPL

Ngoja nikuambie kitu
Sababu tulipo husishwa Martinez coz ni baller pia anacheza nafasi zaidi ya moja (full back, LCM). ila natural position yake ni hiyo full back
Na Lengo la sisi kutaka kumchukua anaenda kuwa backup ya Tierney. Sio aje kuingia kikosi cha kwanza
100% lilikua parfect deal

Man u wanamchukua Martinez moja moja anaingia katika first eleven yao

Pia wamemuangalia katika nafasi ya kiungo zaidi, kitu ambacho ni hatari sana kwa pande zote mbili
Kwa timu na mchezaji mwenyewe

Backup ya arsenal wao man u wameona ni first eleven ndio maana wanapigwa parefu

Ajax players wengi wana struggle sana, hasa falsafa za man u, sioni maisha mazuri kwa huyu Martinez au De jong kama wakitua pale

Hata kama Martinez atakua mzuri kiasi gani wahuni wataamua kupitia kwa magwaya ili kurahisisha kazi (joking)
 
Naona unaandika kwa uchungu sana huku roho inakuuma.
Pole sana mkorea hivi kwa akili zako ulijua kabisa Martinez atakubali kusajiliwa kwenye hiko ki Academy chenu?
 
Zinchenko ni proven EPL

Ngoja nikuambie kitu
Sababu tulipo husishwa Martinez coz ni baller pia anacheza nafasi zaidi ya moja (full back, LCM). ila natural position yake ni hiyo full back
Na Lengo la sisi kutaka kumchukua anaenda kuwa backup ya Tierney. Sio aje kuingia kikosi cha kwanza
100% lilikua parfect deal

Man u wanamchukua Martinez moja moja anaingia katika first eleven yao

Pia wamemuangalia katika nafasi ya kiungo zaidi, kitu ambacho ni hatari sana kwa pande zote mbili
Kwa timu na mchezaji mwenyewe

Backup ya arsenal wao man u wameona ni first eleven ndio maana wanapigwa parefu

Ajax players wengi wana struggle sana, hasa falsafa za man u, sioni maisha mazuri kwa huyu Martinez au De jong kama wakitua pale

Hata kama Martinez atakua mzuri kiasi gani wahuni wataamua kupitia kwa magwaya ili kurahisisha kazi (joking)
kuna jambo inabidi tujifunze wana arsenal!
ni vema saana tukashangilia mchezaji ambaye ameshakuwa comfirmed kuliko hizi tetesi zinazogeuka shubiri mambo yanapobadilika.
kama kuna usajili umeumiza watu wengi basi ni kukosekana kwa rafinha na lisandro martinez,hawa watu walikuwa ni finished products na sio potentials kama usajili mwingine tunaoutarajia.na kuna watu walifika mahali wakaanza kupanga next season first eleven as if tayar tumekamilisha usajili wa hawa watu.its good kujipa matumaini ila tusipitilize ikatuumiza.
timu yetu bado inahangaika kufanya rebuilding ya kikosi na zaidi reputation ya kikosi ili kuvutia world class players.
tukifanikiwa kumpata zinchenko na kiungo mkabaji jamii ya savic au xavi alonso tutakuwa tumepiga hatua
 
Mkuu umeongea jambo muhimu sana
Tetesi zinabaki kuwa tetesi tu
Hapa sijaweka % zote kwamba anatua, ata the gunners nawaomba tufate huu ushauri wa toobiter

Ninachofurahi tetesi zinazotuhusisha zina mantiki sana, so technically
Ndio maana nyumbu, chelshit, spurs wametufanya sisi ndio scout wao

Let's hope Zichenko will be the gunner
 
Arsenal waliwataka Raphinha na Lisandro Martinez, lakini walihisi Leeds na Ajax walikuwa wanaka kuwatumia Arsenal kwa nia yao kupata pesa zaidi, hivyo Arsenal waliweka msimamo mkali wa kutojiingiza katika vita ya kupanda dau na hivyo hawakuwa tayari kulipa Zaid

Rayan Tylor
 
Back
Top Bottom