hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,622
- 27,310
Lisandro Martinez Ajax walikuwa wanatupambanisha na man u ,haya Sasa Arsenal kafika €40+5add ons ,Man u kafika €50(45+5ads ons)
Bei waliyokuwa wanaitaka ,
Sasa kwakuwa wamekaa kipigaji na man u kazoea kupigwa , Sasa wanagoma kumuachia wanasema wanataka €60m
Kifupi Kwasababu Man u kaingia na anamtaka Anthony wanataka wawapige pia kwa €80m
Now sio Arsenal ikihangaika Tena na Lisandro ,kwa hiyo Bei €60m